Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

ndio zake huyu!mpaka ahkikishe mmebaki weupeeee

Wajanja kweli hawa, utasifiwa hadi uzikwangue zooote, utasika sijui papaa nani nani na wanavyopenda sifa wanazimimina tuuuu, daaah kweli pesa matumizi.
 
Star tv kwani tumewakosea nin jaman m nilidhan kwa lowassa tu
 
Tatizo nasib fonabo anaimba nyimbo ambazo sio za kuhit sana yan angeimba haya wimbo wa sauti Sol hiv
 
Bora wewe,mimi nina ushabiki mbaya sana,hapa tu natetemeka.
Hahhaha ndo maana me yakishaanzaga mambo ya team nakaa mbali. Nina mihemuko + kamoyo kadogo. Ila wewe Umezidi, nakusubiri after uchaguzi teh
 
Wanamtia preshapresha Fanabo ili akosee. Hujuma tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom