Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Fonabo kwangu ndie mshindi
Mi too I wish aisee
Fonabo kwangu ndie mshindi
Mimi Na Wewe Dada! Usihofu NINAKUPENDA KULIKOTUKUKA.
FONABO wanamhujumu daaah!goli la mkono hili laivuuuu
Huu wimbo aliochagua Fonabo utamuangusha,yule mshenzi Kayumba akiimba Ada hapo ml. 50 zake.
Hahhaha ndo maana me yakishaanzaga mambo ya team nakaa mbali. Nina mihemuko + kamoyo kadogo. Ila wewe Umezidi, nakusubiri after uchaguzi teh
Ndugu yangu acha tu,hiyo siku inabidi niwe na doctor au mtaalamu wa saikolojia pembeni.