Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Bado nashangaa UKUBWA wa bodyguard kutafutiwa pesa na Bella hahaaaa
hahahaha noti raitii mkuu
Bado nashangaa UKUBWA wa bodyguard kutafutiwa pesa na Bella hahaaaa
Bado nashangaa UKUBWA wa bodyguard kutafutiwa pesa na Bella hahaaaa
Hahahaaaa! Huyu ashazoea live band maana wanazoaga pesa, kajisahau anafikiri ni bonanza lake hili
Jamani naanzisha bendi na mm..nani anataka kuniunga mkono..sio kutunzwa huku
Haya jamani wale wenye pressure zetu tutafute maji mapemaaaaa
Huyu jamaa ashafikisha 2m hapa hapa
hivi hawa waliovaa Tshirts za Magufuli tumewakosea nini???
Hahaha hao ndo wanakula kuku huku wanadaiwa teh. Mdai mnoooKuna mpuzi namdai nimemuona kaenda kutunza pale mbele..Kesho ninae
We jamaa umenichekesha sana ase
TRA mko wapi?!duh!Chris Bella anazikusanya tu,inabidi kuwe na mtu TRA ili akate kodi ya serikali palepale!
Kuna mpuzi namdai nimemuona kaenda kutunza pale mbele..Kesho ninae