Mie nahisi ni baada ya kunyimwa KTMA kipindi kile ndo akawadharau kwa ujumla.
Star tv kwani tumewakosea nin jaman m nilidhan kwa lowassa tu
Mi nakusanya pesa..We kukata mauno si unajua??
Tatizo nasib fonabo anaimba nyimbo ambazo sio za kuhit sana yan angeimba haya wimbo wa sauti Sol hiv
Then watu wa escrow wanazitafuna kodi zetu. Wewe utakua ni ccm hufai kabisa.
Ndio maana nasema mwili ule bila kipaji ni sawa na pushups na siasa haviendani.