Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Bado nashangaa UKUBWA wa bodyguard kutafutiwa pesa na Bella hahaaaa
 
Nawe Bella acha sifa kayumba atakosa pesa za kutunzwa zote unabeba ww bna aaaaah
 
Music unalipa bana, huyu Mcongo katengeneza Pesa ya kutosha *****
 
Keshapata hela ya kodi ya miezi mingine ijayo, Mwenye nyumba anamchekelea tu, akitoka apo sasa...
 
Jamani Christian Bella aimbe basi ule wimbo wao mpya wa Amerudi?Naupenda sana huu wa asubuhi na mama zimechosha.

Muite Akuimbie Chumbani Kwako Dada Na Usitusumbue Wakati Tunangojea KAYUMBA a.k.a Dr. Magufuli Apewe TAJI Lake Rasmi La BSS Muda Mfupi Ujao. Fanabo Namfananisha Na Lowassa.
 
Huu ndiyo ubwege wa BSS...wanaleta kaisari kwa toroli!!!!!!!!!!!!'!!!!!!!!'!!!!!!
 
Haya jamani wale wenye pressure zetu tutafute maji mapemaaaaa
 
Hivi kwanini huwa wanapeleka real money ukumbini? Kwanini wasitumie mfano wa cheki?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom