Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Hahahaha team makelele oyeee. Daah basi watakuwa wamewafanyia jambo la maana sana kuwakabidhi kwa babu tale. Naamini tutaendelea kuwaona kwenye gameMie nilikuwa team walter alafu rafiki yangu team wababa jamani ile siku nadhani majirani walituchukia maana sio kwa kelele zile.
Aisee!! Nimeona this year top5 inasimamiwa na babu tale sijui, alafu pesa hawatopewa zote zingine zitatumika kuwasaidia na kuwasimamia angalau wafanye la maana.