Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Daah afu huwezi amini nilitaka nikuite, sijui nini kikanipitia. Tusamehe tu bure, na burudani iendelee

Baba yako nayeeee! Uzi kama huu alitakiwa kuwaita wadau, sasa yeye kaufungua katuliaa mnajadiliana wewe na yeye tuuu!! Hajui hili jukwaa halitembelewi sana!!
 
Hahahaha me nilimkuta tu huku kibahati anapiga story alone. Nikasema ngoja nimchangamshe mzee wangu asiwe mpweke. Itabidi tuwaite na wadau wengine, maana na hii ndo week ya nenda kwa usalama
 
Ha ha ha..Ahsante Douta kwa kampani..
 
Nilituma wajumbe wakuite mtt Mzuri..Uenda waliuwawa

Yaani umeniudhi hujui tu, nilikuwa natamani sn hiki kitu, kama kipindi kileeeee, tokea auditions maana mie nilishacheka mpaka basi, sasa wewe ukaanzisha alafu ukakaa kimya jamani.
 
Baba yako nayeeee! Uzi kama huu alitakiwa kuwaita wadau, sasa yeye kaufungua katuliaa mnajadiliana wewe na yeye tuuu!! Hajui hili jukwaa halitembelewi sana!!

Tujuane mapema basi katotoo..Mi na familia yangu kura yetu kwa Kayumba..

Cc Heaven Sent
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha me nilimkuta tu huku kibahati anapiga story alone. Nikasema ngoja nimchangamshe mzee wangu asiwe mpweke. Itabidi tuwaite na wadau wengine, maana na hii ndo week ya nenda kwa usalama

Khaaaah!! Mie sikujua kabisa kama kuna huu uzi, leo kama bahati tu naingia huku nashangaa kuukuta!!
 
Na kweli me mwenyewe hili jukwaa Mmh inatokeaga tu mara moja moja kuingia. Kwa hiyo huu uzi hadi uonekane mmh
 
Yaani umeniudhi hujui tu, nilikuwa natamani sn hiki kitu, kama kipindi kileeeee, tokea auditions maana mie nilishacheka mpaka basi, sasa wewe ukaanzisha alafu ukakaa kimya jamani.

Najua hasira zako ntazimaliza wapi..Ni swala la muda tu..

Huwezi amini..uwa naenjoy auditions zaidi kuliko hata hizi hatua za mbele..kule ni vituko aisee
 
Huyu dada nilimpenda toka kwenye usahili..
Mmh daddy mbona kufanana tastes? Frida ndo my favorite kwa upande wa wadada. Ingawa angel huku mwisho ameshine sana kupita frida, but still namkubali zaidi Frida
 
Basi huyo frida mama ako ndo hataki hata kumsikia..Sijui ndo wivu..

Yeah Angel huku mwisho amejitahidi sana..Halafu ana advantage coz anaweza kuimba na kuchana.Na uwa nazipenda fujo zake kwa stage..

Ila frida nae ni habari nyingine
 
Na kweli me mwenyewe hili jukwaa Mmh inatokeaga tu mara moja moja kuingia. Kwa hiyo huu uzi hadi uonekane mmh

Hata mimi huku daaah hadi sikumbukagi kama kuna jukwaa la hivi.

Najua hasira zako ntazimaliza wapi..Ni swala la muda tu..

Huwezi amini..uwa naenjoy auditions zaidi kuliko hata hizi hatua za mbele..kule ni vituko aisee

Oooh afadhali, hapo tu ndipo ninapokupendea.

Hata mimi napenda auditions zaidi, yaani nachekaga kama mwehu, najiuliza hivi watu wanaendaga wakiwa serious kabisaaa au ni kuchekesha tu wenzao.
 
Basi huyo frida mama ako ndo hataki hata kumsikia..Sijui ndo wivu..

Yeah Angel huku mwisho amejitahidi sana..Halafu ana advantage coz anaweza kuimba na kuchana.Na uwa nazipenda fujo zake kwa stage..

Ila frida nae ni habari nyingine
Hahaha me tumetoka kugombana na my best friend eti hampendi frida mweee, nimemwambia tutapingua urafiki teh

Angel yupo vizuri, afu na ule ushape pale kati teh, ndo maana maza ananuna. Frida ni kama mgumu fulani hivi as wana hip hop walivyo ndo maana mbwembwe hakuna, while angel ana tumbwembwe fulani. Ila I wish them both the best luck. Angalau this year wana hip - hop wameleta changamoto zaidi kwenye bss
 
Hata mimi huku daaah hadi sikumbukagi kama kuna jukwaa la hivi.

Oooh afadhali, hapo tu ndipo ninapokupendea.

Hata mimi napenda auditions zaidi, yaani nachekaga kama mwehu, najiuliza hivi watu wanaendaga wakiwa serious kabisaaa au ni kuchekesha tu wenzao.
Especially washiriki wa dar ndo wenye vituko wengi. Auditions wanajitokeza wengi sijui kuuza tu sura. Yani huwa nacheka sana khaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom