Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Hahaha Walter alikuwa anakastyle anaimba wee afu anapeleka mbele kasura kake na kunyanyua kamguu

Boss salma hakubebwa, the kid is talented basi tu Walter ana nyota yake

one of my best kutoka kwa walter..Hasa ukimuona anavyocheza ndo utazidi kumpenda
 
Attachments

Tangu nianze kuangalia yeye ndo ananikosha na yule Doris nlikuwa namkubali pia. Ila sio mbaya,kwa waliobaki hana mshindani,teh teh.
Hahaha naseeb, frida, angel wapo vizuri ujue. Ila mwaka ni wa kayumba tu
 
Hahaha naseeb, frida, angel wapo vizuri ujue. Ila mwaka ni wa kayumba tu

Angel Mary simkubali..muzik anaoimba sio mambo yangu japo yupo vizuri. Halafu mbona kama Jana alikuwa anajiamini sana? Wenzake wanatetemeka yeye anatabasamu kwa mbaaaali,au mimi tu?
 
Angel Mary simkubali..muzik anaoimba sio mambo yangu japo yupo vizuri. Halafu mbona kama Jana alikuwa anajiamini sana? Wenzake wanatetemeka yeye anatabasamu kwa mbaaaali,au mimi tu?
Aah hapo mwishoni itabidi nicheki marudio vizuri, channel zilikata. Labda comments za judges zilimfanya ajiamini. Ila frida alitia huruma pale mwishoni mwishoni
 
Kayumba..huwa nataman hadi kulia akianza kuimba yule mtoto. Ndio mshindi wangu yule..

Hahahaaa umetisha aisee.
Mimi nampenda since day one,na alinimaliza ile siku aliyoimba Ada yake Mr. Flavour coz ule wimbo naupenda mnoooo!
Sasa alivyoupatiaje?Nilitamani ingekuwa fainali ashinde tu kwakweli.
Tumpiganie kijana wetu.
 
Hahahaaa umetisha aisee.
Mimi nampenda since day one,na alinimaliza ile siku aliyoimba Ada yake Mr. Flavour coz ule wimbo naupenda mnoooo!
Sasa alivyoupatia sasa?Nilitamani ingekuwa fainali ashinde tu kwakweli.
Tumpiganie kijana wetu.

Saaaana..atapita. In sha Allah,kuna namna yake alivyo alivyo,sijui tu. Ana hatari
 
atoto my dear Kayumba ni wetu,yule popoma K sitaki hata kumsikia.
Siku hizi nadeal na upcoming tu.
Kuna yule Galatone aliyeimba Sina mali si unamjua?
Namkubali sana yule kijana,akaze buti tu maana kaanza vizuri sana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom