Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Nope dear, jack akitulia ana vocal moja tamu refer performance yake ya kanyimbe, tatizo hajajijulia asimame sehemu gani afu hana matashtiti ingawa jana nilimkoma kwenye taarabu. Kev ni msanii wa kawaida ila ni mjanja mjanja sana, ule ujanja utamsaidia sanaBora huyo Kev, Jackie sijui katafuna kizizi gani aisee yani haata sielewi