Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Hilo mbona hata viziwi wanajua..Mana hata kama mtu hausikii ila show ya steve itakupa burudani..Kev labda kura zimemuokoa ila steve alistahili
Yeah Inawezekana kura zimembeba + ile style yake ya kumix vionjo vya diamond, kiba et al. But habari nzuri zaidi ni kuwa he is not a threat to our kayumba. Tupige tu kura ili Tusije tukalalamika

Guest judge leo alikuwa diamond, kamwambia kayumba kuwa anasikia sana sifa zake mtaani, nikasmile
 
Watampa Kayumba tu..Dogo anajitahidi..Na ukiachia hivyo kuna mkono wa fela pale nadhani
Aah ujue kuna day nimechungulia insta niliona madogo wa yamoto band wanampamba sana kayumba.; Nikahisi labda wanatoka kitaa kimoja. Nimepata mwanga kidogo now
 
Kayumba ni Yamoto band..Sema hajashiriki tu kwenye nyimbo zilizotoka tayari
 
Yeah Inawezekana kura zimembeba + ile style yake ya kumix vionjo vya diamond, kiba et al. But habari nzuri zaidi ni kuwa he is not a threat to our kayumba. Tupige tu kura ili Tusije tukalalamika

Guest judge leo alikuwa diamond, kamwambia kayumba kuwa anasikia sana sifa zake mtaani, nikasmile
Yeah..kev sio tishio hapo...Diamond hajamwaga pesa nae?
 
Basi habari njema hiyo..Ina maana watashirikiana kwenye wimbo mmoja??
Yani nimeingia kwenye page ya BSS but sijaelewa hata hiyo kushare ndo ipo vipi. Afu wameandika top 6 ni ......., na sio top 5
 
Teh teh..Uenda people wameandamana..Bss wakaona isiwe shida ngoja tumrudisha..
 
Hahahah hamna bana daddy, si itakuwa waliamua pale pale jukwaani bana. But people hazina hata habari na jack na kev
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom