Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Wameamua vema!! wangemuacha Kayumba na Frida ningeenda kulala moja kwa moja kwani straight Kayumba angekuwa mshindi, ila kwa kuwa kabakia Fonabo ngoja niangalia hadi mwisho, maana mpambano wake ni unpredictable
 
Na muziki wetu ndivyo ulivyo, wenye vipaji vyao hata hawatusui ila wajanja wajanja tu ndio wanapaa, mie nimejikuta naumia maana naona kama hashindi!! Aaaaaagggggrrrrrr!

That true gal... Bongo star search inaua vipaj
 
Only Lady...Frida tunakupenda ila Kayumba Tunampenda Zaidi.....Weusi mchukueni dogo huyo msimiache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom