Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Kayumba pls imba ule wimbo wa Ada wa Mr. Flavour,ukiimba huu I swear wewe ndio mshindi....otherwise lolote linaweza tokea.

tuko pamoja dogo aimbe Adaa asiimbe mayomoto yake.....
 
Huo wimbo ni mgumu na pia ni wa taratibu sidhan kama utamsaidi hasa hatua hii ya final

Uliona ile siku aliyouimba alivyoupatia?
Nakuhakikishia ataimba huu,stay tune....utanitafuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom