Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,369
Hizo kura zinahesabiwa Wapi??
Tunataka matokeo yabandikwe kituoni.
Tunataka matokeo yabandikwe kituoni.
hakuna kituHata mimi nimefikiri hivo, sidhani kama atatoboa asee. Ila kwakuwa Babu Tale atawasimamia kwa mwaka mmoja, labda anaweza vuma kwa mwaka huo.
Hawa yamoto wamewarudishia nini hapo jukwaani
Acheni kukumbushana Machungu jamani,
lkn Salma siku zile kamshirikisha Linex jamaa alichangia sana kumnyima Ushindi
Unaona sasa hawa walikuwa talented sana but wabongo kuwaelewa kazi. Tushazoea bongo flavorAsante kwa kunielewa hata mimi yule dada nilikua nampenda sana
Huu ni mwaka wa Mensen Selecter as a producer,kapiga beats za ukweli sana kama huu wimbo wa Ya Moto Cheza kwa madoido.....
Yamoto wamechokwa au ni vipi
Akibaki Kayumba na Fonabo, mshindi ni Fonabo. Kayumba ana sauti nzuri, anajua kuentertain lakini level zake mwisho Malaika band au yamoto. Wa hapa hapa tu.
hakuwa na nyota sijui why watu hawakumuelewa awali
nimeplay part yangu kwa fonabo
nimepigia debe instagram na kuwahamasisha watu wampgie kura
ila ashnde asishnde
JAMAA AKIPATA MANAGEMENT NZURI atakua star motoo
Kayumba akitoka nazima tv!
Angalia usije ukazimia wewe badala ya kuzima tv.
yaan dahNa muziki wetu ndivyo ulivyo, wenye vipaji vyao hata hawatusui ila wajanja wajanja tu ndio wanapaa, mie nimejikuta naumia maana naona kama hashindi!! Aaaaaagggggrrrrrr!