Teh huyu sina tatizoVipi nikimleta nyumbani huyo??
Yani we una kesi ya hudhurulaji haijaisha zen unaongeza mboyoyo nyingine..Tulikubaliana Kayumba ndo mshindi ama
Huyo Runtown sijui toka naija kaimba wimbo gani?
Oyoooooo love mingi kwenu guys,wajuaga vile nakupendaga eeh?
One love.
Jamani mlimuona Master J alivyoumia Angel kutokaa??
Jamani mlimuona Master J alivyoumia Angel kutokaa??
nimedilt fasta hyo comentCalm down bongo huwa hatupend talent ni mbwembwe ndo tunataka
Kayumba pls imba ule wimbo wa Ada wa Mr. Flavour,ukiimba huu I swear wewe ndio mshindi....otherwise lolote linaweza tokea.
Kaskasini na darisalama
King of best melodies