Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Na muziki wetu ndivyo ulivyo, wenye vipaji vyao hata hawatusui ila wajanja wajanja tu ndio wanapaa, mie nimejikuta naumia maana naona kama hashindi!! Aaaaaagggggrrrrrr!

Tatizo aina ya muziki wake haupendwi na wabongo sista, kifupi muziki wake hauburudishi, ila bila ushabiki ndo ana kipaji kuzidi wote
 
Sasa wabongo ndo tunapenda hizo style za kayumba. Level za naseeb ni za mbele
Hamna anaweza kufanikiwa kama Mad Ice.. though hajahit kama kina domo lakini kwa wanaojua vitu vizuri hawahitaji kuambiwa ubora wake na akitoa wimbo anafanya vizuri kwenye media
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaah!!! frida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom