Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Afike mbali wakat mwenye dhamana ni Ruge?? Atamwambia aimbe taarabu ili auze
Kumbe ni huyo muuaji wa bongo fleva industry
Afike mbali wakat mwenye dhamana ni Ruge?? Atamwambia aimbe taarabu ili auze
Huu ni mwaka wa Mensen Selecter as a producer,kapiga beats za ukweli sana kama huu wimbo wa Ya Moto Cheza kwa madoido.....
Hizo kura zinahesabiwa Wapi??
Tunataka matokeo yabandikwe kituoni.
Heeeeeee huyu kilema jamani!
Hii mara ya pili namuona!
Hahahahahaaa unanijua vyema best yangu,mimi sijui nina balaa gani!
Washiriki wamepeleka mawakala?
Heeeeeee huyu kilema jamani!
Hii mara ya pili namuona!
Heeeeeee huyu kilema jamani!
Hii mara ya pili namuona!
Saaaaana! yule.Linex kiazi af kutoka hapo aliponda ooh ana uwezo mdogo kashindwa kubeba wimbo! mbafu... wakati yeye na Salma binti alikua mkali.zaidi yake ila ndo underground tu
Ulemavu sio umaskini..Chiba we balozi mzuri
Izi zisi yu yuu?? Nimekumiss mpenzi.
Yaani nimejikuta namsahau kayumba ghafla, this dude is goood, alafu ana advantage ya gitaa pia(mwanamuziki)
Yaah ni kweli mkuu huyu jamaa ni mwanamuziki kabisa bss inabidi waangalie pia hilo maana washindi wengi wa bss wamekuwa wakishinda wanapotea kwenye soko la mziki
Nashangaaa utafkiri hamna watu wengine
Saaaaana! yule.Linex kiazi af kutoka hapo aliponda ooh ana uwezo mdogo kashindwa kubeba wimbo! mbafu... wakati yeye na Salma binti alikua mkali.zaidi yake ila ndo underground tu
hakuna kitu
baada ya leo labda ajiunge kwenye bend
Huyu Chiba!!
Kweli. Nimewachoka.. wanaimba kama wanapiga story za mjomba mpoto
Aisee huu mtepesho sio, ukiguswa tu huoooooooo, Shame at its best. Sipendi kabisa wanakoelekea hawa madogo, walianza vizuri sanaaa,,
Heeeeeee huyu kilema jamani!
Hii mara ya pili namuona!