Hii dress code ya Nahreel ndio nini jamani?
Nahrel stick to producing,you are not a good singer at all.:thumbdown::thumbdown:
Teh na hatukuupdate leo. Utakoma
Hahahaha poyeeeeUsifanye hivyo mama.. wengine tuko kwenye mgao huku
Kwa ubunifu wa kimuziki kete yangu ni kwa Fanabo, lakini kuimba copy ya kilichokwisha imbwa kete yaenda kwa Kayumba
anakera kiukweli na matakwimu yake hewa!
Mtotroooooo noumaaaahuyu mtoto jamani....Go kayumba