Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Usinikumbushe Salma aisee.. yule alistahili kuchukua taji sema basi tu kwenye maisha sometimes bahati zinahusika

Acheni kukumbushana Machungu jamani,

lkn Salma siku zile kamshirikisha Linex jamaa alichangia sana kumnyima Ushindi
 
Huu ni mwaka wa Mensen Selecter as a producer,kapiga beats za ukweli sana kama huu wimbo wa Ya Moto Cheza kwa madoido.....
 
Last selection of song will determine the winner kati ya Fanabo na Kayumba,

Akibaki Kayumba na Fonabo, mshindi ni Fonabo. Kayumba ana sauti nzuri, anajua kuentertain lakini level zake mwisho Malaika band au yamoto. Wa hapa hapa tu.
 
Izi zisi yu yuu?? Nimekumiss mpenzi.
Yaani nimejikuta namsahau kayumba ghafla, this dude is goood, alafu ana advantage ya gitaa pia(mwanamuziki)

Kwa kweli mi kanifanya nimsahau frida na kayumba kapiga gitaa kanigusa
 
hakuwa na nyota sijui why watu hawakumuelewa awali
nimeplay part yangu kwa fonabo

nimepigia debe instagram na kuwahamasisha watu wampgie kura
ila ashnde asishnde
JAMAA AKIPATA MANAGEMENT NZURI atakua star motoo

Ni pm jina unalotumia instragram hope I won't be bored masai dada
 
Last edited by a moderator:
Akibaki Kayumba na Fonabo, mshindi ni Fonabo. Kayumba ana sauti nzuri, anajua kuentertain lakini level zake mwisho Malaika band au yamoto. Wa hapa hapa tu.
Sasa wabongo ndo tunapenda hizo style za kayumba. Level za naseeb ni za mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom