Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,349
- 176,144
Fonabo ni heavy weight sema mziki wake wa bongo hatumuelewi
Aiseeee, alafu nilikuwa namchukulia poa kumbe mbayaaaaaaa!!
Kumbe huyu wa rap kafika hadi top3!!
Fonabo ni heavy weight sema mziki wake wa bongo hatumuelewi
Am watching now, daaah nimepitwa na mengi, sasa mbona huyu Fonabo mempenda gaufula
Fonabo usiku uu njoo nipigie gitaa umenikoshaje aisee
Hahahhaha leo frida kakomesheaMamaa wa kurap Frida
I wish ashinde huyu jamaa kanikosha sana ana kipaji
Ni mbayaaaaaaaaaaAiseeee, alafu nilikuwa namchukulia poa kumbe mbayaaaaaaa!!
Kumbe huyu wa rap kafika hadi top3!!
Am watching now, daaah nimepitwa na mengi, sasa mbona huyu Fonabo mempenda gaufula
fonabo unaweza ukampa hata teh teh
HE IS DOING VITU VIKUBWA SANA
Shoga angu hata Mimi ghafla bin vuu nimempenda aisee
NtakupwelepwetaKaimba wimbo gani?!
Frida wangu anakuja
mi tangu siku ya kwanza nilimuona ni starAiseeee, alafu nilikuwa namchukulia poa kumbe mbayaaaaaaa!!
Kumbe huyu wa rap kafika hadi top3!!
Amepata njaa sana. But fridah anatoka round hii. Ila I'm so happy amefika top 3Huyu Frida kumbe anajua kucheza kikikekike..Mbona alikuwaga anatufanyia makusudi vile
Hahahahaaaa unataka kuuza mechi eeh?
Hz the best