Ana maisha marefu sana ya muziki. Huyu ni kama dogo salma yule wa zanzibar aliyekuwa na kina Walter chilambo
Usinikumbushe Salma aisee.. yule alistahili kuchukua taji sema basi tu kwenye maisha sometimes bahati zinahusika
Ana maisha marefu sana ya muziki. Huyu ni kama dogo salma yule wa zanzibar aliyekuwa na kina Walter chilambo
wanamtoa huyo sasa hivi
Sasa salma ndo sawa na fonabo. Itokee tu vinginevyoUsinikumbushe Salma aisee.. yule alistahili kuchukua taji sema basi tu kwenye maisha sometimes bahati zinahusika
Kwaheri Frida..Hakuna namna tena
Yaah ni kweli mkuu huyu jamaa ni mwanamuziki kabisa bss inabidi waangalie pia hilo maana washindi wengi wa bss wamekuwa wakishinda wanapotea kwenye soko la mzikiFernabo ni full package iliyojitosheleza tofauti na hawa wengine ujanja ujanja wa mjini
Huyu Frida kumbe anajua kucheza kikikekike..Mbona alikuwaga anatufanyia makusudi vile
Huyu Frida kumbe anajua kucheza kikikekike..Mbona alikuwaga anatufanyia makusudi vile
hakuwa na nyota sijui why watu hawakumuelewa awaliIzi zisi yu yuu?? Nimekumiss mpenzi.
Yaani nimejikuta namsahau kayumba ghafla, this dude is goood, alafu ana advantage ya gitaa pia(mwanamuziki)
Hahaaa kanikoshaje jamani namuombea Mungu hata asiposhinda afike mbali
mi tangu siku ya kwanza nilimuona ni star
Fonabo ni muimbaji tu na mpiga chombo ila kayumba ni muimbaji na mtumbuizaji mzuri na pia anaimba nyimbo ambazo watz wengi ambao ndo wapiga kura wanazipenda na kuzielewa tofauti na za Fonabo