Bongo movies...

Bongo movies...

jini akitaka kuvuka barabara aanaangalia pande zote....... m2 akichomwa kisu lazlma iwe tumboni......
 
kila muv ina part 1 na 2 halafu zinauzwa separate na zote zina behind the scene ambazo zimekuwa lazima katika kila muv.:A S-confused1:
 
kwenye sub title...umeme wa luku ukiisha the luku is finish(lipa umeme kadri utumiavyo-kiswahili)...badala ya kutumia electricity units...ni kama vile wanajitafsiria wenyewe wakazi wa tanzania na si wasio watanzana....Kenya wenyewe hawajui Luku ni jinamizi gani..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom