Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
kikomo kitafikia, damu zisizo na hatia hazito waacha hivi hivi.
Khadija kopa ni wewe na baba yako Kikwete na MUlugo fanyeni mission nyingine ya kumuua hii ime abort musisahau na nyie hamtakaa muishi milele unaweweseka kama vile una kansa ya ubongohivi lema alikua anaimba taarabu au anahutubia, naona alikua anapozi kama za khadija kopa.
Wewe umesikia hii nchi ni Mbuzi wa kujichukulia tu?Mh Dr.W.Slaa pindi utakapochukua hii nchi hakikisha haki inatendeka kwa Watanzania, kabla ya hata kuwafunga wakina Kikwete na genge lake la Mafisadi anzeeni na kumshughulikia huyu Mwigulu Nchemba anadamu nyingi sana za watanzania kwenye mikono yake, kila akishiriki kwenye kampeni huyu Mwigulu Nchemba, mauaji na kutekwa watu lazima vitokee
Wewe umesikia hii nchi ni Mbuzi wa kujichukulia tu?
Uzuri ni kwamba hakuna inchi iliyopiga hatua bila kumwaga damu. Ni heri kufa kwa mawazo yanayoishi kuliko kuishi kwa mawazo yaliyokufa..! Adui mkubwa duniani ni uoga..!Damu ya huyu mama na wengine zitaimaliza kabisa CCM. Haitachua muda mwingi hiki chama na wadhalimu wake watabakia historia katika nchi yetu. Tuzidi kumwomba Mungu. Yeye hapangiwi cha kufanya ila anafanya kilicho cha haki.
Mkuu, leo wakati napitia picha mbalimbali nilizopiga siku hiyo niliongopa sana baada ya kukuona sehemu ambayo bomu lilirushwa...MUngu mkubwa lakini hakuna kurudi nyuma ni mapambano mbele kwa mbele...
Wewe shukuru mungu walikosa Kanzu ya kumvisha huyo mrusha bomu. Saizi usingeonekana humu.Crashwise mmoja wa magaidi wanaotumiwa na savimbi Mwigulu Nchemba ni huyu hapa majebere pia atakuwa anamjua aliyerusha bomu
Wewe shukuru mungu walikosa Kanzu ya kumvisha huyo mrusha bomu. Saizi usingeonekana humu.
Hebu tungejaribu kuzikusanya hizi picha za baada,kabla na wakati wa tukio lenyewe toka kwa wadau mbalimbali waliokuwepo eneo la tukio si ajabu inaweza kutupatia mwanga juu ya kummbaini muhusika hasa wa hili tukio. Siasa za Tanzania zinatisha sana kwa kweli na huku tunapoelekea tunaiweka amani rehani wallahi!!
Hapa hakuna cha udini wala nini ni CCM ndiyo wamehusika kuokoa jiji lisiende chadema kisa ni la pili kwa mapato na rasilimali za mafisadi ziko Arusha...lakini watang'oka tu.....Kwa hiyo ndio CCM mnavyoueneza udini nchini kwa staili hiyo?
Aliyerusha alitokea kwa wapi mbele ya huo umati au? na kwanini alirusha upande wa wa wananchi hakurusha jukwaa kuu au alilenga kurusha jukwaa kuu lakini bomu halikufika?
Wenzetu wakichunguza wanaenda sambamba na kuangalia MOTIVE.