lukuvi ni shetani.....akipinda chama chake kuliko hata mungu
Hivi Lukuvi ana Familia nduga marafiki jamaaaa nakadharika au? Hiyo kauli kaitoa wapi kwanza kama tu mwanadamu wa kawaida pili mbunge mwakirishi wa watu tatu baba mwenye mke na watoto na jamaa na ndugu nne ni kiongozi wa serikali hii ni ndio "utter nonsense" how can he talk "out of ignorance of such tragic.
Yaaaniiiiii