annabrenda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 1,142
- 399
Duh! watu walikuwa nyomi ndo maana kuna watu walikasirika ili wanachi waogope kwenda kwenye mikutano ya CDM.
Mrusha bomu alionekana mkuu, watu walitaka kumkamata lakini polisi waliingilia kwa kurusha risasi na mabomu.
Damu ya huyu mama na wengine zitaimaliza kabisa CCM. Haitachua muda mwingi hiki chama na wadhalimu wake watabakia historia katika nchi yetu. Tuzidi kumwomba Mungu. Yeye hapangiwi cha kufanya ila anafanya kilicho cha haki.
Mkuu issue hapa ni halimashauri ya jiji la Arusha, CCM hawataki kuiachia kabisa na walijua kama uchaguzi ungefanyika ilikuwa mwisho wao......Serikali inakosaje huruma na kupofushwa na uadui wa kisiasa jamani? Hawa watu wana kosa gani kuisikiliza CHADEMA ilhali mfumo wa vyama vingi umeruhusiwa kisheria? Waufute basi kama hawataki kushindwa
Kwa maana hiyo Mh. Lukuvi anataka kutuaminisha kuwa CDM ilitaka viongozi wake wote wajiuwe ili wapate kura za huruma kutoka kwa wananchi. Naona dalili zote za nchi hii kuingizwa kwenye machafuko kwa kulazimishwa. Dhamana ya hii nchi bado ipo mikononi kwa watawala wenye dola halali kikatiba. Sasa sisi wananchi IMANI yetu tuifukize wapi?
Exactly unaweza kukuta mrusha bomu akaonekana hapo hapo kwenye picha!
Wenye picha wazipeleke vyombo husika.
Mkuu, unauliza kuhusu mrusha bomu au walioua kwa risasi...huhitaji elimu ya chuo kikuu kujua waliofanya unyama huo...hata hivyo ni swala la muda tena mfupi kila kitu kitakuwa wazi...Exactly unaweza kukuta mrusha bomu akaonekana hapo hapo kwenye picha!
Wenye picha wazipeleke vyombo husika.
Hii kitu ilipagwa na kusimamiwa na Kinana, Nchemba na RPC...Mwigulu Nchemba anamjua aliyerusha bomu, case closed
Lukuvi ana mind set za kijinga na za kizamani sana. Hadi leo anadhani wananchi hawajui upumbavu wa CCM hao waliokufa mbegu yao haitakufa kamwe Tanzania itakuja kukombolewa siku moja. Kumbe hatujapata Uhuru kilichofanyika ni kubadili Mkoloni toka Mkoloni Zeruzeru hadi Mkoloni mweusi.
pole sana kwa kuendelea kutetea chama cha wauwaji majangili lakini nikwambie kilichotokea tarehe 15/06/13 ni zaidi ya bomu, kilicho umiza wengi ni risasi zilizorushwa baada ya bomu kurushwa nina uhakika kabisa walioumia na bomu moja kwa moja hawazidi kumi lakini waliumia na risasi ni zaidi ya 50, nenda kawatembelee watu mahospitaliniutaona... na kwa kwa maelezo ya jeshi ambayo watanzania hatutaambiwa ni kuwa mabomu na risasi zimetoka china na zimetengenezwa mwaka huu ndiyo maana polisi jana wameshinda pale wakihangaika kujua, hawakujua kuwa ni mambomu na risasi ni mpya kabisa na hawakuwa na kumbu kumbu za mabomu hayo..kuna uzi humu uliweka vema swala hilo...utafute......Inasikitisha kudhani kwamba damu ya huyo mama itaimaliza CCM.
Tafakuri jadidi inatosha kukujulisha kuwa CCM kamwe haihusiki na haiwezi kuhusika na upuuzi huo wa kurusha mabomu.
Jiangalieni ndani ya CDM mtajua nani kafanya hivyo na nini madhumuni yake.
Pia mjiulize kwa nini Kaloleni na kwa nini isiwe kata zingine tatu zilizobaki za Arusha au mikoa mingine.
Nataka kuwahakikishia tu kuwa what goes around comes also around. Kwani mwisho wa siku mtajua nani kawafanyia hivyo.