Kuna uzi nimechangia na kusema "Ukiambiwa usiwe kama LUKUVI" ni tusi moja kubwa sana hapa Tanzania!
Mbona wanajulikana mkuu, hata watu wa vijijini kabisa wanawafahamu. Kama ulisikia jana mbunge kutoka Tanga anasema wazi kuwa watu haoa wanyang'anywe fungo kwani wanaliendeshaviongozi wa juu ni akina nani mkuu? wataje mkuu tuwakate mapembe
Nimekosa tusi la kukupa!! Ungekuwa karibu hata nikakujua uliko ningekujia mchana huu!!Nikuonyeshe UHAI haudhihakiwi kitoto!!hii ni prpaganda mpya kabisa,yaani unajiua ili upate huruma,sijui utaionaje huruma hiyo wakati umeshakufa? wanasema nae Nasari alijipiga na kujiumiza vibaya ili huruma ipatikane.
narudia tena
CDM hawaitaji huruma Arusha,ni kama CUF pemba hawahitaji huruma kwa kujiripua mambomu.
ile ilikuwa ni mbinu ya kuogopesha watu wasifanye maamuzi sahihi.
Inashangaza sana,hv kwenye umati wote ule mtu anaweza rusha bomu na asionekane?polis walikuwepo kulinda usalama na kama mrushaji alifanya vile nini kazi ya polisi katika kulinda amani?Halafu wanatuambia kuwa mpaka sasa hakuna mtu anaeshikiliwa na polis kama hawana uwezo au wameshindwa kazi si waseme tu wananchi tujilinge wenyewe?
Mtu anafika mbele ya huo umati na ulinzi wote, tena mbele ya Jukwaa halafu anarusha bomu, hivi hao jamaa waliokuwa wamevaa gwanda hapo mbele walikua wamelala? Na kwanini asirushe juu ya jukwaa? hapa kuna harufu ya mkono wa Lwaka.
Nimekosa tusi la kukupa!! Ungekuwa karibu hata nikakujua uliko ningekujia mchana huu!!Nikuonyeshe UHAI haudhihakiwi kitoto!!
Kama walikuwa wameshuka kama dakika mbili ina maana kuwa walikosa timing kidogo, na ndiyo shida ya hand grenade ambalo siyo atomatic bomb. Hakika walilenga wale viongozi!!! Believe me or not!!!! Mwiba mkali huo.Mkuu, viongozi walikuwa wameshuka jukwaani kama dakika mbili wakikusanya pesa kutoka kwa wanachama/wapenzi wa chadema kwaajiri ya mawakala na hapo walipo watoto viongozi walikuwa kama hata mbili kutoka hapo..
Amina Ktk Jina la Yesu Kristu!!Hivi MUNGU yupo??? na kama Yupo kwanini anaacha watu wake wahujumiwe na kuaawa kikatili namna hii??? Mbona biblia Inasema wazi watawala wa zamani walivyokutana na nguvu ya MUNGU na kushindwa hila zao. Mbona kuna waliopigwa mapigo saba na wakapotelea mbali??
MUNGU waonyeshe watu wako kuwa upo na hakuna aliye juu zaidi yako. hujuma hizi zinazopelekea mauaji kwa watu wasio na hatia MUNGU Tunahitaji majibu. Tuondolee watu hawa wanaosababisha huzuni mioyoni mwetu kwa kutuulia wapendwa wetu.
Maombi haya tuyaendeleze na MUNGU atajibu si muda mrefu.