Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,363
- 139,166
Kuna route moja walinipa kwa 3,000 boda nikamwelekeza short cut akasema ninafuata route. Ikawa mbali sana nikamwambia umekosea njia, kufika ananiambia imebadilika kutoka 3k mpaka 6k.
Nikampa 3k nikamwambia hiyo nyingine kamdai mama yako mimi sikukutuma ukosee route
Nikampa 3k nikamwambia hiyo nyingine kamdai mama yako mimi sikukutuma ukosee route