Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Hivi kuna magaidi ya kikristo yanayo chinja hinja ili yachafue ukristo?
Magaidi wakristo wapo ila wametafutiwa jina zuriiii wanaitwa vikundi vya waasi na huwa wanapewa muda wa majadiliano na kukubaliana.Ndugu yangu asili ya ugaidi imeanzia mbali sana ila kikubwa ni kulipiza kisasi.Siku yakikukuta madhila yanayowapata waislam ndipo utakapoelewa tafuta makala ya aljazeera ya uuzaji wa viungo vya binadamu.
 
kumbe boko haram walikuwa wanawasiliana na serikali muda mrefu.

lakini kwanini wanashindwa kuwamaliza boko haram?

nakumbuka na ile hadithi ya kwenye biblia ambapo shetani na mungu wanapiga stori na shetani anamuambia mungu naomba nikamjaribu mtu wako lazaro na mungu akamwambia nenda ukamjaribu ila usimuue.
pale ndio nikaja kugundua kwamba mungu na shetani ni marafiki na huwa wanawasiliana.
Mkuu ni Ayubu siyo Lazaro.Huenda hata hawa wanaovurugana kwa kuletewa mizimu ya kizungu na kiarabu wamedanganywa sanaaaa mpaka kuacha urithi wao kutoka kwa babu na bibi zao.
 
Kwahiyo Qur'an aya ya 5 mstari wa 51, Allah anawaambia waislam wasifanye urafiki na wakristo na wayahudi,na muislam akiwa na urafiki na mkristo adhabu yake ni kuwa adui wa mungu wa kiislam yaani Allah.
Hii inafanya muislam mshika dini yule anamchukia mkristo bila sababu ya msingi na kumfanyia matendo ya kikatili kama ugaidi N.K
Haswaa...!
 
watumie nguvu ipi kujipambanua, yaani uwapambanishe wewe kwa uelewa wako finyu afu wenyewe wajipambanue........elimu!
 
Magaidi wakristo wapo ila wametafutiwa jina zuriiii wanaitwa vikundi vya waasi na huwa wanapewa muda wa majadiliano na kukubaliana.Ndugu yangu asili ya ugaidi imeanzia mbali sana ila kikubwa ni kulipiza kisasi.Siku yakikukuta madhila yanayowapata waislam ndipo utakapoelewa tafuta makala ya aljazeera ya uuzaji wa viungo vya binadamu.
Hebu tutajie hivyo vikundi vya kigaidi vya kikristo...stick to the fact pls.
 
Hawa wataendelea kutumika na Boko Haram, wasijidanganye bure kuwa wameachiliwa,... Wamelishwa sumu, wameiva vya kutosha kabisa,. Hao wote wameacha watoto zao kambini, wote wamezalishwa hao... Achana na Boko Haram ni mafirauni yaliokwisha kazi.
 
Hivi kuna magaidi ya kikristo yanayo chinja hinja ili yachafue ukristo?
Magaidi ya kikristo yanatumia akili na yanaua watu wengi kuliko hayo magaidi ya kiislamu.Mfano gaidi lililotengeneza virusi vya UKIMWI,magaidi yanayotengeneza migogoro katika nchi nyingine ili watu wauwane kisha yajizolee maliasili.Bila kusahau magaidi ya kikristo yaliyokuja kutugawa kwa kutuletea utamaduni uliofanya mpaka sasa tunapigana wenyewe kwa wenyewe ili kutetea maslahi yao.Kubwa zaidi ni GAIDI LILILOANZISHA DEMOCRACY AMBAYO IMEKUWA NI CHANZO KIKUBWA CHA MIGOGORO KWETU SISI WAFATA MKUMBO WA MAGHARIBI.Ugaidi upo kila kona hata kwenye jamii za kiafrika,mfano magaidi yanayoua albino na yale yanayovamia maeneo ya wakulima na kulisha mifugo.Kama sipo sawa nirekebishwe...
 
Mungu awaongeze amani ya kuweza kuishi tena uraiani......maana kuna mmoja alirudi na mtoto alikuwa ananyanyapaliwa na majirani hadi alitamani kurudi alipokuwa
 
jaribu kuchukua muda hata ukasoma basi, nani alikwambia hivyo.........je anayeiba akajiita muislam uisalm utakua umemtuma, anayezini akajiita muislam uisalam utakua umemtuma???????
Mbona kasema vizuri tu, kama ni mtu mmoja anafanya huo uhalifu sawa. Lakini linapokuwa kundi au makundi makubwa yenye mtandao, wakijiita wapiganiaji wa Uislamu, ni lazima tuone Uislamu kama ni Imani ya kihalifu hapa duniani.
 
Huo ndio uislam. Kuchinja, kuiba na kuharibu. Hawana watoto? Au wameambiwa waache watoto ili waongeze nguvu kwenye kundi hili la mashetani?
Sema hawa ndio Boko haramu, tenga mbali na uislam vitendo hivyo
 
Hawa jamaa wamejificha kwenye kivuli cha uislamu lakini uislamu haufundishi ugaidi.Cha muhimu kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu ni kuwa,waislamu watumie nguvu ya ziada ili kujipambanua na ugaidi kwani kiukweli wameuchafua sana na wasioelewa ambao ni wengi wanaamini kuwa magaidi ni waislamu.
Mkuu, nyie mbona mnatofautiana sana? Kuna rafiki yangu muislam aliwahi kuniambia tena huku amenikazia macho kwelikweli kwamba kummaliza mtu asiyekuwa muislam ni jambo la heri na ni moja ya kumuabudu Mungu..
 
Yaani tunajua uislamu na sifa zake yaani ni kinyume kabisa na matendo ya makundi haya ndg.
Uislamu ni upendo,uislamu ni amani,uislamu ni rehema.Je nchi zote za kiislamu hayo hapo juu yapo?.
Bahati nzuri nchi za kiislamu mmekataa hata kuhubiriwa injili ya yesu kristo aliye hai ili muujue undani wa imani ya kikristo kama nyie mnavyotuhubiria tukasikia.Mnahofu nini?.
Huko korea mashahidi wa jehova wametishiwa kufungiwa makanisa yao kisa mashahidi hawataki vita.
Somalia hakuna kanisa full vita.Ina maana misikiti yenu ni magenge ya kupangia njama za utekaji?.
Yesu kristo alisema tutawajua walio wa Mungu kwa matendo yao.Yaani bwana yesu asifiwe wala salaam aleykum hazititishi bali matendo ya mtu.
Ndg zetu waislam hapo mmepwaya jitafakarini upya muijenge imani yenu kama mtume wenu alivyowauru.
Ikiwa leo mtume wenu akifufuka akute haya yanayofanywa na mnaojitia wafuasi wake kuuana,kubaka,kufilana,vita tele na mengineyo atazimia afe tena.
Makundi yote ya kigaidi ni ya kiislamu kuanzia isis,bokoharam,alkaida,alshabab,mungiki na ambayo sijayataja.Hakuna majeshi yanayoongoza kusali duniani kuzidi ya kiislamu somalia alshabab lakini matendo ni zero.
Kumbe Korea nu nchi ya kiislamu?
 
Mkuu, nyie mbona mnatofautiana sana? Kuna rafiki yangu muislam aliwahi kuniambia tena huku amenikazia macho kwelikweli kwamba kummaliza mtu asiyekuwa muislam ni jambo la heri na ni moja ya kumuabudu Mungu..
Alikupa uthibitisho wa maneno yake?
 
Back
Top Bottom