Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Yeah imani waliyonayo hao maharamia ni imani ya ajabu sana,hakuna sehemu katika uislamu inayohalalisha mauaji ya watu wasio na hatia na kuteka wanafunzi wa kike na kuwafanya wake zao kwa lazima,sheria hiyo haipo,so hawawezi kuwa waislamu hao
Mkuu nayaheshimu sana maoni yako. Lakini hivi vikundi vyote vinadai kuupigania uislaam wa kweli na kwamba nyie mnaochanganyikana nasi hamuujui uislaam!!

Mbaya zaidi sijaona juhudi binafsi za dini hii kutaka kujitenga na makundi haya ya kigaidi badala yake vinaungwa mkono indirect or direct.

Nashauri haya masomo yanayowachochea vijana kuhamasika kuingia huko yaangaliwe upya ama yaachwe kabisa
 
Hawa jamaa ni shida sana. Sijui hili la kuteka mabinti na kuwaua walio na hatia lini wataachana navyo.
Hawakuuliwa hao. Wazee wa boko haramu walikuwa wanafiranao tu. Sasa unategemea wawafanyi nini? Vitoto chuchu zimesimama. Wewe unafikiri pana dini hapo. Kwani wazungu na waarabu walipokuja huku kutustaarabisha tulikuwa tupotupo tu na gea ya kwanza dini. Ndio hapa tumefika. Na bado tumenjaaa njaa ufisadi magonjwa ni wachafu kushinda mabara yote duniani tupo nyuma kimaendelea. Nchi kama hii TZ tangu uhuru hadi leo miaka 56 nusu karne. Hata bajeti yetu inatushinda . Halafu tumebaki tunaanza waislamu hivi wakiristo vile.
 
Kuwa mwafrika ni shida. Hawa wazungu wana haki ya kutuita majina yoyote wapendayo. Maanake tumeshindwa na kila kitu.
 
Mudy wa Mecca ndiye aliyeanzisha ulawiti na ubakaji kwa kumbaka mtoto wa Miaka 9.

Hulijui hilo?
Mkuu ukipata wasaa wa kuzungumza na mzazi wako hebu muulize babu yako alimuoa bibi yako akiwa na umri gani assuming that you are below 30,kama una zaidi bas jibu tayari unalo.kwa mantiki hiyo mababu zetu wote walikuwa wabakaji kwa kuowa wasichana wadogo.
 
Mkuu nayaheshimu sana maoni yako. Lakini hivi vikundi vyote vinadai kuupigania uislaam wa kweli na kwamba nyie mnaochanganyikana nasi hamuujui uislaam!!

Mbaya zaidi sijaona juhudi binafsi za dini hii kutaka kujitenga na makundi haya ya kigaidi badala yake vinaungwa mkono indirect or direct.

Nashauri haya masomo yanayowachochea vijana kuhamasika kuingia huko yaangaliwe upya ama yaachwe kabisa
Mkuu tatizo watu wanalichukulia hili juujuu,wapo watu waliodai kuwa wao ni mitume na wengine kuwa ni miungu,haimaanishi tuwaunge mkono,ili kulielewa vyema tatizo la ugaidi angalia kiini cha tatizo.nani anawadhamini,namna gani wanarecruit wafuasi,misimamo yao na vitendo vyao utagundua mengi.uislamu unatumika kama mbuzi wa kafara.hawa vijana hawaagi makwao wala kupewa baraka na wazazi,wengi wanatoroka kwenda kujiunga na hayo makundi.modus operandi ya haya makundi haiakisi mafundisho ya uislamu hata sheria za vita katika uislamu haziruhusu kuuwa wanawake,watoto na wasiohusikia katika vita.kisheria alshabaab walipaswa kuvamia kambi za jeshi na sio mashule na malls.
 
Mkuu ukipata wasaa wa kuzungumza na mzazi wako hebu muulize babu yako alimuoa bibi yako akiwa na umri gani assuming that you are below 30,kama una zaidi bas jibu tayari unalo.kwa mantiki hiyo mababu zetu wote walikuwa wabakaji kwa kuowa wasichana wadogo.
Kwahiyo unakubali kuwa Muhammad alikuwa Mbakaji?
 
Huku sisi tukiwa kwenye msiba mkubwa wa ajali ya Arusha kwanini huko Nigeria Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa kwa wazazi ndugu jamaa hata marafiki baada ya serikali ya Nigeria kusalimu amri na kukubali masharti ya kundi la Boko Haram la kubadilishana wafungwa na mabinti waliotekwa
Ni miaka mitatu sasa tangu mabinti hao walipovamiwa shuleni kwao na maharamia wa Boko Haram katika mji wa Chibok ...kwa muda wote huo wazazi na hata ndugu waliishi kwenye sintofahamu kubwa kuhusiana na mustakabali wa watoto wao
Wamepitia mengi pengine mabaya kuliko mazuri.. Hakika wanaorudi sio wale walioenda kiufahamu na hata kiumri.... Walifundishwa mengi kwa nguvu, walifanyishwa kazi za kitumwa na walikuwa watumwa wa ngono kwa sehemu kubwa
Ni kushukuru kuwaona hai tena ni jambo la furaha sana lakini wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho na kisaikolojia ili waweze kurudi katika hali yao ya awali., kimwili kiafya na kiakili
Sisi tunamalizia wiki kwa majonzi wenzetu wanamalizia kwa furaha
Kifo na uzima vyote hutokea kwa wakati mmoja... God knows better
d8aec10fab91d118d68008633cab7580.jpg
Haaah! Nyie msishangilie jamani hayo ni Mabomu yanayotembea, kama mnabisha tutaona hapo mbele ni.
 
Nani kasema ushetani haupo? Ushetain upo, kama vile uchawi utaendelea kuwepo hadi Yesu atakapokuja kuwahukumu!. Ungelikuwa na ufahamu sahihi, ungegombana na waislam hao unaoema wanaharibu uislam ndani ya usilam. Sasa ukanza ku attack watu wanaoona ushetani mtupu, na wewe unayeona wanamsingizia mungu wako, bado hudiriki kutengeneza jambo la kuwazuia, kwa nini tusiamii kwamba uboko harabu na hayo mengine ni matawi ya uislam ambao hata mafundisho yake yameamurisha kufanya ushetani?

Wewe pigana na hao wanaokuchafua kama vinogozi wako watakubali. Inavyoonekana wewe ni mpchanga sana katika hili eneo. Waasisi wako, hao walio kwenye chungu, wananodoto za kuondoa watu wengine wote duniania wabaki peke yao. Na huo ni mkakati tu wanafnay.

Kwamba wakiwa sehemu ambayo wanazidiwa nguvu, wawe wapole na waonyeshe ushirikiano.

wakiwa sehemu wako wachache, waonyeshe upole and ushirkiano.

Sehemu wakipata nguvu, na wakiwa wengi, waanzishe vita vya kuhakikisha wanabadili watuwote kwa mapanga ama kubadki peke yao.

MIfano hapa tz. Wakti wa mwal. kwa sababu aikuwa mtu mwenye macho ya ndani ya nje, wakati huo mkiwa wachache sana, mliishi na binadamu kama watu bila kuwa na nia ovu na tulishirikian wote kwa upendo kama vile wote tu ni watu wa Mungu.

Baada ya nyerere, mkaanzisha mambo kwa kujua mmepata nguvu, tukaona na nyaraka za Kigom. Mlaima zinakwenda kwa tilte za "Huu ndio wakati wetu".

Mara tunaona maanznisha na vurugu za vita vya maguruwe kwa uwongo uwongo tu,. Hivi asingekuwa Mrema Augustino, mngetufikisha wapi? Mkaanzisha ma mihadhara ya matusi, kwa fujo sana mkidhani mmebak i peke yenu sasa, mkasahau kwamba kichwa bila mwili hakiweza kufanya yote.

Baadae tena hapo kati kati mkabaki mmedumaa baada ya kugundua kwamba kumbe hapa kwetu ninyi hamjafikia kimo ch akuanzisha fujo.

Tumeona hatua iliyofuata tena mkaja na mengi sana hadi kuchinja Mchungaji kule geita kwa sababu tu amehubiri washirkia wake "Wachinje mifugo yao, na wale wenyewe". Tumeona mmefanya mengi ya kipumgavue na bile watu wa Mungu, sijui ingekuwaje. Tumeona namna kichwa chenu kilivyoua elimu nchini eti kuwapa anfasi na nyinyi muwe wengi. Lakini uwezo mdogo na ndiyo sababu mnapwaya sana.

Mmeanzisha mambo mengi sana ikiwa na kuwaambia vijana wenu wa kike na wakiume waolewe ama waoe wa Kristo ili muwapunguze kwa idadi, na kisha mzae watoto wengi ii muongezeka. Kuna wengi waliotimiza hili jukumu walituzwa na fedha si kwa sababu ya kuwasaidia katika sherehe za arusi ama ndoa, bali ni kuwapongeza.

Mkajigundua bado mnapwaya, mkaanzisha shuruti eti kwenye sensa kuwe na tawkimu za dini!. Nani hakujua nia yenu? Eti mkantaka ujua mmekuwa wengi kiasi sgani mijpange kwa vurugu. Mengine ninaficha sitaki kuwapa faida.

Ninaomba nisizungumze mengi.

Kwa ufupi, mnatakiwa kushawishi dunia kwmba hizo vurugu si sehemu ya usislama. Mnavyozidi kuwa attack watu wanaolalamikia mienndo yenu ya vurugu, n akuwalinda hayo matawi yenu ya growth and sustainability (those who are waging war), mnazidi kuonyesh adunia kwamba ninyi ni tatizo kwa ulimwengu.

Njooni na matusi yenu, ambayo ndiyo karama yenu kubwa hapa mtukane kwa kuwa ni ibada kwenu, lakini kamwe hamtaubadilisha ukweli kwamba "shetani kazi yake ni kuiba, kuchinja na kuharibu', na kwamba kwake hakuna amani, na diyo sababu kila mahala alipo, (kwa maana ya wafuasi wake, wanaotumia roho zake shetani), hapana amani.

Asomaye na afahamu, na mwe macho haambiwi tazama.
Kupitia comment yako hii nimegendua ni jinsi gani hapa nchini kuna chuki, chuki baina ya wananchi na wananchi, chuki sababu ya udini, chuki ya kuona fulani ana nini na wewe una nini, inaonekana kwa namna moja ama nyingine wewe ni muhanga wa uislamu. Hebu tupe kisa walikufanyia nini?.
 
Wale watoto walio zalishwa imekuaje mkuu wamerudi nao majumbani kwao ama wamewaacha kwa babazao boko haramu kuboost kundi?
 
Heshimu basi Imani za wenzio japo kidogo, utapungukiwa nini labda unadhani??
Anadhani atapata uchamungu na uzima wa milele kwa kuchukia na kukashufu wenye imani tafauti na yeye,labda ndo alivyofundwa.
 
Anadhani atapata uchamungu na uzima wa milele kwa kuchukia na kukashufu wenye imani tafauti na yeye,labda ndo alivyofundwa.
Hapana...mimi ni mbishani "mfajiubishi"

waliofundishwa kuchukia dini zingine ni Waislam.

Unataka ushahidi?

Huu hapa:-

tapatalk_1494135975018.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
hata Yesu alikuwa mbakaji alimbaka Maria Magdalena mpaka akazaa nae watoto
Hapana...akazaa watoto wapi?

Naona umeshaanza kubuni vitu

kitontijooo!

Abdullah Ibn Mua'mmad a.k.a Muhammad marioo wa Bi khadija ndio Alimbaka Mtoto Aisha wa miaka 9.

Hivi alipombaka alikuwa ameshashushiwa qur'an?

Na bado anaenda zivunja zingine kule,

 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hapana...mimi ni mbishani "mfajiubishi"

waliofundishwa kuchukia dini zingine ni Waislam.

Unataka ushahidi?

Huu hapa:-

View attachment 505971
Quraan imeshatuonya na wakristo tusiwe na urafiki nanyi lakini haikutuamrisha muwe maadui zetu. Na hili onyo tunaliona kwa wakati wa sasa jinsi nyinyi wakiristo mlivyo na chuki na uislamu na waislamu. Leo hii uki post chochote kuhusu waarabu mwisho wake utatukanwa uislamu ukiposti chochote kuhusu uislamu ni matusi kwenda mbele. Mbona sisi mnapo post maelezo yenu kuhusu ukiristo sisi waislamu tunaheshimu.
 
Back
Top Bottom