Body language na facial expression zinaeleza wazi kwamba Lissu amekata tamaa, licha ya kujaribu kulazimisha furaha na ujasiri ambao ni wazi hana

jikite kwenye hoja gentleman,
hakuna haja ya kuweweseka au kumbwelambwela na mambo yasiyohusu hoja ya msingi mezan

ikiwa uko pontless unapiga kimya tu i:NoGodNo:

Mpinzani wa huyo mama ni Lissu. Huyu mama amemtia Lissu gerezani kumuogopa. 😁
Ameona njia rahisi ya kumkabili Lissu ni kumfunga. Lakini bado muoga.
 
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na haijulikani wanamuonyesha nani licha ya kupuuzwa tangu aanze drama mahakamani.

Majuto ni mjukuu, muhaini anajutia uropokaji wake unaokiuka sheria za nchi ambao ni wazi unakwenda kumtia hatiani pasina shaka yoyote.

Sheria ni msumeno,
Ishara zote za kisheria ziko wazi kwamba kuna kibaraka anakwenda kushikishwa adabu kisheria kwa kutiwa hatiani na kupewa haki ya hukumu anayostahili kulingana na makosa yake katika muda usiokua mrefu ujao.

Itakua ni fundisho muhimu sana kwa raia wenye tabia za kubebwa ufala wa kifikra kirahisi tu na kufanywa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa lengo la kupindua serikali na kuharibu nchi kwa maslahi ya hao mabwenyenye. Tabia hiyo mbaya zaidi na isiyo ya kizalendo nchini, inakwenda kufika mwisho, kuzikwa na kukomeshwa kabisa Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Mahakama huru na ya haki ya Tanzania.
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
Kwahiyo?????!!!
 
Kwahiyo?!
 
Tumesikia mashahidi wa kificho wa mama! Kweli wanastahili kufichwa, hivi vyeo vya makamishna kwa kisasa wanapewa kwa idadi ya walioua nini?

Mafweree anapeleka ushahidi wa namna ile kwa kosa la uhaini na anapita barabarani kujiita kamishna wa mama proudly? Oh my country!

Yule mungu tumemkosea nini sisi kenge?
 
Gentleman,
hakuna haja ya kujiba moyo katika mambo ambayo ni bayana.
Muungwana amechoka, yupo confused licha ya kuilazimisha furaha.

ukweli huo hauna haja ya mihemko gentleman :NoGodNo:
Taahira wewe!

Yule aliepata 98% ila muda wote amezungukwa na bunduki kuogopa 2% kati yake na Lisu yupi amekataa tamaa na hama amani?
 
Mkuu hili suala la hawa jamaa kuzunguka duniani hivi sasa kutafuta suluhu kwa waliyoyafanya wanaweza kukubaliwa na mabeberu?

Maana kuna juhudi kubwa sana kwa hii serikali kujisafisha baada ya uvunjaji wa sheria na haki za kibinadamu...

Mabeberu watakubali kama watakubaliana na masharti waliyokuwa wamepewa kabla ya uchaguzi. Na sasa yanaweza kuwa yameongezeka. Ndiyo maana juzi walikuwa RUSIA kwa PUTIN ... sijui wanategemea nini kutoka huko. Rusia hawana cha kuoffer zaidi ya Mafuta labda na Mbolea.
 
Na wanaharakati wazidi kupigilia msumari palepale, maana wanaaminisha mabeberu hivi sasa kwamba Tanzania imerudi kuwa shwari, amani imetawala, na wananchi wanaendelea na majukumu na wamemkubali rais, kwamba walio andamana walilipwa...

Wanasema pia wametengeneza tume kuchunguza yaliyotokea na wanasikitishwa sana na kilichotokea, pia wanasema wanafanya maridhiano... kwa kweli ni mambo ya kishenzi sana yanaendelea, wanapika kila kitu...
 
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na haijulikani wanamuonyesha nani licha ya kupuuzwa tangu aanze drama mahakamani.

Majuto ni mjukuu, muhaini anajutia uropokaji wake unaokiuka sheria za nchi ambao ni wazi unakwenda kumtia hatiani pasina shaka yoyote.

Sheria ni msumeno,
Ishara zote za kisheria ziko wazi kwamba kuna kibaraka anakwenda kushikishwa adabu kisheria kwa kutiwa hatiani na kupewa haki ya hukumu anayostahili kulingana na makosa yake katika muda usiokua mrefu ujao.

Itakua ni fundisho muhimu sana kwa raia wenye tabia za kubebwa ufala wa kifikra kirahisi tu na kufanywa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa lengo la kupindua serikali na kuharibu nchi kwa maslahi ya hao mabwenyenye. Tabia hiyo mbaya zaidi na isiyo ya kizalendo nchini, inakwenda kufika mwisho, kuzikwa na kukomeshwa kabisa Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Mahakama huru na ya haki ya Tanzania.
Half human na uharo mwingine tena........
 
Huyu dada nasikia analiwa na kada mmoja
 
Muongelee Mama yako mwizi mwache Lissu na Watanzania wake. Endelea kutoa kwa makada
 
Mleta mada bila.shaka elimu yako n hapa na pale.kama.ilivyo ya mwenyekiti wa.chama. chako na waziri wa elimu

Maana uwezo wako.wa kuchanganua mambo n mdogo sana

Haya n mambo ya sheria waachie nguli wa sheria wadadavue
 
Gentleman,
huenda huyo kibaraka ameshikilia roho za mamaluki malofa kama wewe na mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili:TRUMP:
Wewe ni chawa tu tena wa kulamba makalio ya bwana wako. Huna maana kabisa.
 
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na haijulikani wanamuonyesha nani licha ya kupuuzwa tangu aanze drama mahakamani.

Majuto ni mjukuu, muhaini anajutia uropokaji wake unaokiuka sheria za nchi ambao ni wazi unakwenda kumtia hatiani pasina shaka yoyote.

Sheria ni msumeno,
Ishara zote za kisheria ziko wazi kwamba kuna kibaraka anakwenda kushikishwa adabu kisheria kwa kutiwa hatiani na kupewa haki ya hukumu anayostahili kulingana na makosa yake katika muda usiokua mrefu ujao.

Itakua ni fundisho muhimu sana kwa raia wenye tabia za kubebwa ufala wa kifikra kirahisi tu na kufanywa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa lengo la kupindua serikali na kuharibu nchi kwa maslahi ya hao mabwenyenye. Tabia hiyo mbaya zaidi na isiyo ya kizalendo nchini, inakwenda kufika mwisho, kuzikwa na kukomeshwa kabisa Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Mahakama huru na ya haki ya Tanzania.
Kuna mtu anaenda kuonana na mola wake kwa dhuluma anayofanya......hana muda mrefu.
 
Muhukumuni basi kwani hamtaki kuhukumu? Au muueni ili mtukomeshe sisi tuliofanywa vibaraka na mabwenyenye. Siku sio nyingi ........
 
Back
Top Bottom