Body language na facial expression zinaeleza wazi kwamba Lissu amekata tamaa, licha ya kujaribu kulazimisha furaha na ujasiri ambao ni wazi hana

Body language na facial expression zinaeleza wazi kwamba Lissu amekata tamaa, licha ya kujaribu kulazimisha furaha na ujasiri ambao ni wazi hana

Muhukumuni basi kwani hamtaki kuhukumu? Au muueni ili mtukomeshe sisi tuliofanywa vibaraka na mabwenyenye. Siku sio nyingi ........
,hakuna haja ya kuweweseka,
hukumu ya haki ya kurest in peace kulingana na sheria atapewa huyo kibaraka bila kiherehere au uropokaji wa mamaluki wake yeyote ikiwa ni pamoja na wewe gentleman:BillyApprove:
 
Wewe ni chawa tu tena wa kulamba makalio ya bwana wako. Huna maana kabisa.
ukweli hua una kera sana gentleman,

i;m sorry nashindwa kukaa bila kusema ukweli hasa juu ya huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi:NoGodNo:
 
Ndugu chawa umekula Leo??? Kika kukicha unazidi kuvurugwa ubongoni.
 
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na haijulikani wanamuonyesha nani licha ya kupuuzwa tangu aanze drama mahakamani.

Majuto ni mjukuu, muhaini anajutia uropokaji wake unaokiuka sheria za nchi ambao ni wazi unakwenda kumtia hatiani pasina shaka yoyote.

Sheria ni msumeno,
Ishara zote za kisheria ziko wazi kwamba kuna kibaraka anakwenda kushikishwa adabu kisheria kwa kutiwa hatiani na kupewa haki ya hukumu anayostahili kulingana na makosa yake katika muda usiokua mrefu ujao.

Itakua ni fundisho muhimu sana kwa raia wenye tabia za kubebwa ufala wa kifikra kirahisi tu na kufanywa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa lengo la kupindua serikali na kuharibu nchi kwa maslahi ya hao mabwenyenye. Tabia hiyo mbaya zaidi na isiyo ya kizalendo nchini, inakwenda kufika mwisho, kuzikwa na kukomeshwa kabisa Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Mahakama huru na ya haki ya Tanzania.
Ila kusema la ukweli,amechoka.Anajitahidi sana kujichekesha lakini walakini upo.
 
Ila kusema la ukweli,amechoka.Anajitahidi sana kujichekesha lakini walakini upo.
inasikitisha sana na inafedhehesha sana gentleman,
saa zingine ujuajiji mwingi mbele kiza kinene na ujasiri usio na maana wa kupindukia ni tatizo ambalo binadamu wengi hukataa kwamba hawanalo, kumbe ni changamoto ya wazi kabisa.

na jinsi mamabo yalivyo anakwenda jela akiwa kachoka zaidi :NoGodNo:
 
Wewe umekua mke wa lissu mpaka unajua kua kakata tamaa kwa kumwangalia tu acha kujiuza nenda dp world wananunua kisamvu
 
He's human after all....!

Kuna kukata tamaa, hata wewe hapo umekata tamaa, your doctrines show that you're in despair. Unachotafuta hapo ni relief kwa unachoona ni shida za wenzako.
 
Komredi Tlaatlaah nadhani Lissu akiomba msamaha asamehewe halafu alambishwe teuzi ya kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole. Kaonyesha uwezo mkubwa wa kuwajali wafungwa na mahabusu hivyo apewe tu huo uenyekiti kama ilivyokuwa kwa Hayati Lyatonga Mrema.
 
muhaini ni mtu hatari mno comrade,
hafai kuisogelea ikulu, wala viongozi wa ikulu, hafai kuaminiwa hata kwa sekunde moja tu, hafai kua uraiani kabisa ,ndani au nje ya nchi,

dunia nzima inafahamu haki stahiki ya raia au wanasiasa wenye tuhuma au hatia ya uhaini ni nini :NoGodNo:
 
He's human after all....!

Kuna kukata tamaa, hata wewe hapo umekata tamaa, your doctrines show that you're in despair. Unachotafuta hapo ni relief kwa unachoona ni shida za wenzako.
nakubaliana na wewe 100% kwamba he is a human being after all,

but ukimfuatilia na kumtazama kwa makini, kibaraka hua anajina is a saint above Jesus. na hicho ndicho kinachomgharimu hivi sasa, angalau ameanza kuonyesha sura na tabia za kibinadamu tena muovu :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom