ila kiukweli muungwana kachoka halafu kama vile anapitia changamoto ya afya ya akili,KInachowasumbua ni kutaka kumuona Lissu akilia mahakamani pengine amuombe rais wayamalize.
Anawaharibu kisaikolojia na mnazidi kuchukia..
Mtu akikufanyia ubaya ili ukasirike na kukuharibia mood halafu wewe ukacheka na kutoa tabasamu, anayeumia ni yule anayekufanyia ubaya...
Lissu alikataa kununuliwa, Abdul alimfuata amhonge mapesa, jamaa akakataa... hiko ni chuma..

jikite kwenye hoja gentleman,Bimkubwa baada ya 29 Oktoba, shavu linazidi kushuka tuu! Juzi pale Arusha anajificha ficha tuu na ameshinda kwa 99%. 😁
Hana amani, wanazidi kumuongezea makomandoo kumlinda. Mtu wa "makeup" aongezewe mshahara wazee. Amekuwa mbibi miezi michache tuu.

Zaburi.23:1 yatosha gentleman"Wewe huwezi kushirikiana na mahakimu dhalimu, wanaotunga kanuni za kutetea maovu.
Wao wanaafikiana kuwaangamiza waadilifu, na kuwahukumu watu wasio na hatia wauawe.
Lakini Mwenyezi-Mungu ni ngome yangu; Mungu wangu ni mwamba wa usalama wangu.
Uovu wao atawarudishia wao wenyewe, atawafutilia mbali kwa sababu ya ubaya wao. Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, atawafutilia mbali!
Zaburi.94.20-23.BHN

Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na haijulikani wanamuonyesha nani licha ya kupuuzwa tangu aanze drama mahakamani.
Majuto ni mjukuu, muhaini anajutia uropokaji wake unaokiuka sheria za nchi ambao ni wazi unakwenda kumtia hatiani pasina shaka yoyote.
Sheria ni msumeno,
Ishara zote za kisheria ziko wazi kwamba kuna kibaraka anakwenda kushikishwa adabu kisheria kwa kutiwa hatiani na kupewa haki ya hukumu anayostahili kulingana na makosa yake katika muda usiokua mrefu ujao.
Itakua ni fundisho muhimu sana kwa raia wenye tabia za kubebwa ufala wa kifikra kirahisi tu na kufanywa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa lengo la kupindua serikali na kuharibu nchi kwa maslahi ya hao mabwenyenye. Tabia hiyo mbaya zaidi na isiyo ya kizalendo nchini, inakwenda kufika mwisho, kuzikwa na kukomeshwa kabisa Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Mahakama huru na ya haki ya Tanzania.
Gentleman,Chawa katika ubora wake.
Tundu Lissu ameshikilia roho za watanzania kwani hakuna ufadhilii utakaotolewa akiwa ndani miongoni mwa masharti mengine.

Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na haijulikani wanamuonyesha nani licha ya kupuuzwa tangu aanze drama mahakamani.
Majuto ni mjukuu, muhaini anajutia uropokaji wake unaokiuka sheria za nchi ambao ni wazi unakwenda kumtia hatiani pasina shaka yoyote.
Sheria ni msumeno,
Ishara zote za kisheria ziko wazi kwamba kuna kibaraka anakwenda kushikishwa adabu kisheria kwa kutiwa hatiani na kupewa haki ya hukumu anayostahili kulingana na makosa yake katika muda usiokua mrefu ujao.
Itakua ni fundisho muhimu sana kwa raia wenye tabia za kubebwa ufala wa kifikra kirahisi tu na kufanywa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa lengo la kupindua serikali na kuharibu nchi kwa maslahi ya hao mabwenyenye. Tabia hiyo mbaya zaidi na isiyo ya kizalendo nchini, inakwenda kufika mwisho, kuzikwa na kukomeshwa kabisa Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Mahakama huru na ya haki ya Tanzania.
Njoo tunywe waini mioyo yetu imefurahi japo tuna njaa.jamaa anateseka halafu unakuja kumbwelambwena na porojo na ujasiri wa kilofa namna hiyo gentleman?
kama mamaluki wake, humuonei huruma huyo kibaraka ?![]()
kibaraka analazimisha smile kwa mamaluki wake lakini haitoki, dah![]()
Huyo alishapigwa risasi zikaingia mwilini mwake, alishachungulia mauti na kurudi, leo hii uje umtishie gereza?ila kiukweli muungwana kachoka halafu kama vile anapitia changamoto ya afya ya akili,
anatia huruma na kwakweli amekata tamaa kabisa,
anajutia uropokaji unaoelekea kumtia hatiani na kumalizia maisha yake korokoroni.
ama kwa hakika majuto ni mjukuu![]()
wajibu wangu ni kubainisha ukweli kwenye mambo ya msingi tu gentleman,
huna haja ya kunikasirikia my friend![]()
Mkuu hili suala la hawa jamaa kuzunguka duniani hivi sasa kutafuta suluhu kwa waliyoyafanya wanaweza kukubaliwa na mabeberu?Yah right ...Kibaraka!! Wazalendo wako busy wanazunguka dunia kwa Mabeberu kuomba po.
Huyu ndiye punguani Tlaatlah, mtu wa Blaablah. Mtu mwenye matatizo makubwa kichwani, lakini asiyejitambua!!Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.