Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,708
- 12,793
Mbona na bongo wanajitangaza hadharaniDuuu uyo JAMAA alivyo kuwa na alivyo tofauti na wala huwezi jua kabisa
Ko Nigeria ushoga ni ruksa hadi wamemuacha uyo JAMAA ajitangaze
Iliwekwa na kuna watu walipigia nyeto bila kujua teehAisee.. Hiyo picha ya afts ikiwekwa kwenye ule uzi wa madem wakali haikatai haikatox kabisa
Hahaaa!umeona eehhHalaf eti mimi nichomwe moto jehanam kwa kosa ganioo?
Astakafiru....Shoga maarufu kutoka pande za +234 , Idris okuneye(28), maarufu kama BOBRISKY, ndiye staa shoga aliyeamua kujiweka wazi nchini Kwao kwa kuvaa na kuishi kama mwanamke, unaambiwa hutumia mamillion ya pesa kujiremba na ku maintain muonekano wa kike.
Shoga huyo ambaye pia ni rafiki wa muigizaji mkongwe, Tontoh Dikeh, amekua akivutia watu mbali mbali kwa umahiri wake wa kujiremba na kuishi maisha expensive pengine kuliko mastaa wengine nchini humo.
Bobrisky anajihusisha na biashara ya vipodozi ambayo anadai ndo iliyompa utajir wa kutisha mpaka sasa, ingawa hata yeye mwenyewe pia amewahi kusema mara kwa mara kuwa anatoka na ma politician na watu wazito wenye pesa zao nchini humo ambao pia wanampa jeuri ya kuishi maisha ya kifahari huko Lagos stateView attachment 1120226View attachment 1120227View attachment 1120228View attachment 1120229, Lekki phase 1 maeneo wanayokaa ma billionea wa kutisha
Mungine huyu...inasikitisha mno. Mungu unusuru uzazi wangu. View attachment 1120850View attachment 1120851View attachment 1120852
Nimejikuta nataka kulia... Nimeumia sana.... Kama una mtoto wa kiume unaweza kuyatambua maumivu yanguMungine huyu...inasikitisha mno. Mungu unusuru uzazi wangu. View attachment 1120850View attachment 1120851View attachment 1120852
Sina mtoto yet but I feel the pain as a human ambaye Nina brothers, na ndugu wa kiume.Nimejikuta nataka kulia... Nimeumia sana.... Kama una mtoto wa kiume unaweza kuyatambua maumivu yangu
Seriously inauma... Inaumiza hasa I have boys... Nawaombea sana kwa Mungu kikombe hiki kiwaepuke....!!!Sina mtoto yet but I feel the pain as a human ambaye Nina brothers, na ndugu wa kiume.
Seriously inauma... Inaumiza hasa I have boys... Nawaombea sana kwa Mungu kikombe hiki kiwaepuke....!!!
Hahaaa!umeona eehh
Kwenye maombi yako nikumbuke na mimi bwana mgangaSeriously inauma... Inaumiza hasa I have boys... Nawaombea sana kwa Mungu kikombe hiki kiwaepuke....!!!
Ni kweli kabisa mana inaumiza sana ukisikia mwanao anapumuliwa kisogoni maumivu yake hata ya kuchomwa na kisu Ni madogoSeriously inauma... Inaumiza hasa I have boys... Nawaombea sana kwa Mungu kikombe hiki kiwaepuke....!!!