Ukaribu wa Mastaa wa Kike na Gays( Mashoga)

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,383
Miaka ya hivi karibuni imekua kama Fashion kwa mastaa wa kike nchini ku hang out au kuwa karibu zaidi na wanaume Tata( Mashoga) , kuliko wasichana wenzao, hali hii imekua kwa Kasi sana kuliko miaka ya huko nyuma. Zamani mastaa wengi walikua wanajificha sana na hawataki kuonekana wana urafiki na mashoga kabisa, lakini sasa hivi hali imebadilika, mahusiano Yao yamekua Wazi wazi na mara Nyingi wamekua wakipost mpaka instagram wakila bata bila kuogopa chochote.

Leo nakuletea list ya mastaa wa kike ambao BFF wao wa karibu ni wanaume mashoga na wamekua waki express wazi wazi how they like each other like sisters bila kuogopa chochote especially katika kipindi hiki cha magufuli ambapo mashoga wamekua wakimewa na kukamatwa ila baadhi ya mastaa wamekua waki hang nao bila kificho chochote.

1. WEMA ISSAC SEPETU & AGGREY NYIKA, MARTIN KADINDA
Huyu naweza kusema ndie kinara wa kufuga mashoga kwake, Wema amekua na scandal ya kuweka mashoga kwenye nyumba yake pamoja na kuwatafutia wanaume, pia staa huyo asiyekaukiwa scandal amekua akionekana akila bata na mwanaume shoga maarufu aitwaye aggrey nyika aka usinikaushe uzazi, ambaye inasemekana ndiye Rafiki yake wa kupika na kupakua. Hata hivyo , Staa huyo pia amekua akitafunwa na scandal ya usagaji .

2. LADY JAYDEE & WANCY NELLS
Unaambiwa bi dada alikua close to wancy mpaka ikafikia hatua ya kumfanya assistant wake na walikua wakisafiri kila sehemu kwa ajili ya show , ila unaambiwa, urafiki uliingia dosari baada ya shoga huyo kutembea na aliyekua mume wa lady jaydee, Gardner habash. Staa huyo kwa sasa yupo karibu zaidi na mwanamitindo Martin kadinda, hat hivyo tunaambiwa ukaribu wao ni zaid ya Kazi , Kwan wawili hao wamekua wakionekana sehemu mbali mbali wakila bata.

3. TUNDA & DAVTOR
Staa maarufu Kwenye mitandao ya kijamii, ambaye pia ni video vixen, ameonekana akiwa close zaidi na shoga maarufu aitwaye Davtor , ambae mara nyingi wanaonekana wakila bata wote na kufuatana kama kumbi kumbi.

3 . K- LYNN $ RIO PAUL

BOSSLADY huyu ambaye linapokuja kwenye suala la marafiki she is so picky , we all know her closest friends , ila unaambiwa bidada hupenda ku hang out na shoga maarufu bongo aitwaye rio Paul na ukaribu wao unaanza kukua siku hadi siku .

4. LINAH & JUBILANT
LINAH mara nyingi huonekana na kijana mwenye jinsia Tata wakila bata, hat hivyo ni ngumu kumtambua kijana anayembea nae kuwa ni wa kike au wa kiume kutokana na uzuri wa sura ambapo kamzidi hata LINAH ila unaambiwa ni marafiki wa kupika na kupakua.

5. MUNALOVE & PRINCE
Mtumishi wa Mungu wa mwendo Kasi nae hayupo nyuma na technology, bidada unaambiwa na yeye anaonekana close zaidi na mwanaume shoga anayejulikana kwa jina la prince .

6. ZARI THE BOSS LADY & NOEL NDALE
Japokua ukaribu wao mara nyingi unakua ni kwa ajili ya Kazi , ila unaambiwa bosslady huyo ni best friend wa shoga huyo maarufu ambaye pia ni mwanamitindo, Noel pia anafanya kazi kwa ukaribu zaidi na diamond Platnum’s ambaye ni Mzazi mwenzie na Zari .

7. HAMISA MOBETTO & DAVTOR

Unambiwa bibie huyo shoga ake ndo pimp wake mkubwa wa kumtafutia madanga mjini, ingawa mara nyingi hawapo pamoja, ila shilawadu wanakwambia wana mahusiano ya ukaribu zaidi , na wanaume Ndo kiungashi chao.

8 .ESMA & JUMA LOKOLE
Nani asiyejua ukaribu wa esma na Mwali wangu ? Unaambiwa sasa hiv juma lokole amekua kama family member wa familia ya diamond , imefikia mpaka safari za nje za kifamilia chakubenge huyo hakosekani.

9. IRENE UWOYA & LOYDEMICH

STAA mwenye mvuto ku toka kwenye kiwanda cha bongo movie nae unaambiwa yuko benet na shoga ajulikanaye kama Loy ambapo mara nyingi wameonekana sehemu nyingi wakila bata.

10. TONTOH DIKER & BOBRISKY
Unaambiwa Staa asiyekaukiwa na vituko nchini Nigeria , Tontoh dikeh, ameamua kuelezea wazi hisia zake kwa shoga maarufu nchini humo na mwenye mafanikio aitwaye bob risky, Kuwa ndiye Rafiki yake mkubwa kwa sasa na wamekua wakisafiri wote nchi mbali hadi wamefikia hatua ya kuvaa sare.
IMG_0606.JPG
 
Unaambiwa Staa asiyekaukiwa na vituko nchini Nigeria , Tontoh dikeh, ameamua kuelezea wazi hisia zake kwa shoga maarufu nchini humo na mwenye mafanikio aitwaye bob risky, Kuwa ndiye Rafiki yake mkubwa kwa sasa na wamekua wakisafiri wote nchi mbali hadi wamefikia hatua ya kuvaa sare.View attachment 1133560
Wanaiga njee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom