Bobrisky, The famous and rich Gay in Nigeria

Hiyo picha ana nguo nyekundu na boobs ziko nje kuna mahali niliikuta humu jf nikaomba mdau akaweka

Kumbe ni mwanaume ? Dah
 
Ndo unamtongoza mnaingia geto
Ile kuvua nguo mara paap anamzigo kama wako
Lazma jasho likutoke dadeq
 
Jina lake la kuzaliwa ni Okuneye Idris mzaliwa wa Lagos Nigeria

Lakini jina lake maarufu mitandaoni ni "Bobrisky" huyu ndo malkia maarufu sana huko snapchat na pia instagram anayetrend sana

Huyu ni mwanaume lakini ukimtazama ameamua kujibadilisha na kuwa kama mwanamke

Huyu ndo shoga tajiri zaidi africa akimiliki magari ya ghali zaidi majumba ya kifahari na biashara za vipodozi,mawigi na kope

Aliwahi kusema kuwa yeye anatoka na tajiri maarufu zaidi Africa lakini siku zote amekua akijiepusha kumuanika mpenzi wake hadharani

Pia inadaiwa mama yake mwanzo alikua akipinga hatua hiyo ya mwanae lakini hivi sasa amekua akimsapoti kila hatua ya mwanae

Huyo ndo bobrisky shoga tajiri zaidi Africa
FB_IMG_15693133826652247.jpeg
FB_IMG_15693133918573986.jpeg
FB_IMG_15693135416692617.jpeg
FB_IMG_15693134439851406.jpeg
FB_IMG_15693135136783804.jpeg
FB_IMG_15693134032571870.jpeg
FB_IMG_15693134130565031.jpeg
FB_IMG_15693134485983570.jpeg
FB_IMG_15693133826652247.jpeg
 
Attachments

  • FB_IMG_15693135136783804.jpeg
    FB_IMG_15693135136783804.jpeg
    18.4 KB · Views: 38
Jina lake la kuzaliwa ni Okuneye Idris mzaliwa wa Lagos Nigeria

Lakini jina lake maarufu mitandaoni ni "Bobrisky" huyu ndo malkia maarufu sana huko snapchat na pia instagram anayetrend sana

Huyu ni mwanaume lakini ukimtazama ameamua kujibadilisha na kuwa kama mwanamke

Huyu ndo shoga tajiri zaidi africa akimiliki magari ya ghali zaidi majumba ya kifahari na biashara za vipodozi,mawigi na kope

Aliwahi kusema kuwa yeye anatoka na tajiri maarufu zaidi Africa lakini siku zote amekua akijiepusha kumuanika mpenzi wake hadharani

Pia inadaiwa mama yake mwanzo alikua akipinga hatua hiyo ya mwanae lakini hivi sasa amekua akimsapoti kila hatua ya mwanae

Huyo ndo bobrisky shoga tajiri zaidi Africa View attachment 1214831View attachment 1214832View attachment 1214833View attachment 1214834View attachment 1214835View attachment 1214836View attachment 1214837View attachment 1214839View attachment 1214843
sijajua mtoa maada unataka kutuambia nini?!
 
Kama ni mwanaume hayo maziwa na kifua mbele katoa wapi

Aisee, huyo ni mwanamke kabisa, hakuna kidume wa hivo, tupia picha akiwa kavaa kiume tuone

Kafanya upasuaji brother , na uwa anavaa machuchu ya bandia ingia instagram au google cheki ilo jina tafuta picha zake za zaman utaziona
 
Back
Top Bottom