Bobrisky , The famous and rich Gay in Nigeria

Duuu uyo JAMAA alivyo kuwa na alivyo tofauti na wala huwezi jua kabisa
Ko Nigeria ushoga ni ruksa hadi wamemuacha uyo JAMAA ajitangaze
Mbona na bongo wanajitangaza hadharani
Mmoja huyu hapa
Screenshot_20190607-165005.jpeg
Screenshot_20190607-164554.jpeg
 
Write your reply...
huko naija nilskia punga mmoja ajlpigwa paipu mpaka alakata moto
 
Shoga maarufu kutoka pande za +234 , Idris okuneye(28), maarufu kama BOBRISKY, ndiye staa shoga aliyeamua kujiweka wazi nchini Kwao kwa kuvaa na kuishi kama mwanamke, unaambiwa hutumia mamillion ya pesa kujiremba na ku maintain muonekano wa kike.

Shoga huyo ambaye pia ni rafiki wa muigizaji mkongwe, Tontoh Dikeh, amekua akivutia watu mbali mbali kwa umahiri wake wa kujiremba na kuishi maisha expensive pengine kuliko mastaa wengine nchini humo.

Bobrisky anajihusisha na biashara ya vipodozi ambayo anadai ndo iliyompa utajir wa kutisha mpaka sasa, ingawa hata yeye mwenyewe pia amewahi kusema mara kwa mara kuwa anatoka na ma politician na watu wazito wenye pesa zao nchini humo ambao pia wanampa jeuri ya kuishi maisha ya kifahari huko Lagos stateView attachment 1120226View attachment 1120227View attachment 1120228View attachment 1120229, Lekki phase 1 maeneo wanayokaa ma billionea wa kutisha
Astakafiru....
 
Mungine huyu...inasikitisha mno. Mungu unusuru uzazi wangu. View attachment 1120850View attachment 1120851View attachment 1120852
 
Hizo filters zinamsaidia sana. Picha za kushtukiza bila editing mbayaa balaa

Kuna movie yake pia aliigiza , yan utadhan ni watu wawili tofauti, simu za I phone zinawasitir wengi, japokua sio mbay sana ila camera za snap chat zinambeba sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom