Wanaume mnaoangalia sura nzuri, huyu mwenye sura ya malkia ni shoga

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1127518


WANAUME MNAOOMBWA PESA BAADA NA KABLA YA KUTONGOZA KAZI KWENU,SURA NDIYO HIYO IMEKAA KIMALKIA.

Huwezi Amini Huyu ni Mwanaume Shoga Tajiri Huko Nigeria, Anaitwa Bobrisky
_
Shoga maarufu kutoka pande za +234 , Idris okuneye(28), maarufu kama BOBRISKY, ndiye staa shoga aliyeamua kujiweka wazi nchini Kwao kwa kuvaa na kuishi kama mwanamke, unaambiwa hutumia mamillion ya pesa kujiremba na ku maintain muonekano wa kike.
_
Shoga huyo ambaye pia ni rafiki wa muigizaji mkongwe, Tontoh Dikeh, amekua akivutia watu mbali mbali kwa umahiri wake wa kujiremba na kuishi maisha expensive pengine kuliko mastaa wengine nchini humo.
_
Bobrisky anajihusisha na biashara ya vipodozi ambayo anadai ndo iliyompa utajir wa kutisha mpaka sasa, ingawa hata yeye mwenyewe pia amewahi kusema mara kwa mara kuwa anatoka na ma politician na watu wazito wenye pesa zao nchini humo ambao pia wanampa jeuri ya kuishi maisha ya kifahari huko Lagos state.

Je,ukiambiwa umependwa utume mshiko mrembo aje home kwa muonekano huo utachomoa?
 
Nashangaa watu wa namna hii,wana ndugu,wazazi n.k lakini wanaachwa hadi wanakuwa hivi,tatizo nini?
 
Oshey Baddest anatumia mafilter kama yote,akipigwa picha na tecno wereva ana ndevu za kutosha kifuani.Ptuu Mungu atunusuru vizazi vyetu jamani.
 
Mods futeni uzi...

Haya makitu yanaongezeka sana kadri siku zinavoenda....

Wanaume tunaachwa na mzigo mzito sana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom