Bobrisky, The famous and rich Gay in Nigeria

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,378
Shoga maarufu kutoka pande za +234 , Idris okuneye(28), maarufu kama BOBRISKY, ndiye staa shoga aliyeamua kujiweka wazi nchini Kwao kwa kuvaa na kuishi kama mwanamke, unaambiwa hutumia mamillion ya pesa kujiremba na ku maintain muonekano wa kike.

Shoga huyo ambaye pia ni rafiki wa muigizaji mkongwe, Tontoh Dikeh, amekua akivutia watu mbali mbali kwa umahiri wake wa kujiremba na kuishi maisha expensive pengine kuliko mastaa wengine nchini humo.

Bobrisky anajihusisha na biashara ya vipodozi ambayo anadai ndo iliyompa utajir wa kutisha mpaka sasa, ingawa hata yeye mwenyewe pia amewahi kusema mara kwa mara kuwa anatoka na ma politician na watu wazito wenye pesa zao nchini humo ambao pia wanampa jeuri ya kuishi maisha ya kifahari huko Lagos state
IMG_0221.JPG
IMG_0219.JPG
IMG_0220.JPG
IMG_0222.JPG
, Lekki phase 1 maeneo wanayokaa ma billionea wa kutisha
 
Hiyo picha yake ya kabla ya kujibalisha ndio huwa sichoki kuiangalia.. maana eeeeh hasiyemjua hawezi kumdhania ni yeye.

Siku hizi nilipoona kawa demu kizaidi na kujiongea matako n.k. nikachoka kumsoma hata kumuangalia snapchat..

Ila ni kiboko huyo kwani anakimbizana na wanawake na kuwatukana ati yeyw mzuri na anapata wanaume bombaaaa eti wanawake hawawezi kuwapata.

Bonge la danga huyo grade ya juu kabisa.. ila anaakili pia ya kujiongeza.
 
Duuu uyo JAMAA alivyo kuwa na alivyo tofauti na wala huwezi jua kabisa
Ko Nigeria ushoga ni ruksa hadi wamemuacha uyo JAMAA ajitangaze
 
Hiyo picha yake ya kabla ya kujibalisha ndio huwa sichoki kuiangalia.. maana eeeeh hasiyemjua hawezi kumdhania ni yeye.

Siku hizi nilipoona kawa demu kizaidi na kujiongea matako n.k. nikachoka kumsoma hata kumuangalia snapchat..

Ila ni kiboko huyo kwani anakimbizana na wanawake na kuwatukana ati yeyw mzuri na anapata wanaume bombaaaa eti wanawake hawawezi kuwapata.

Bonge la danga huyo grade ya juu kabisa.. ila anaakili pia ya kujiongeza.
Tumekula wengi sana
 
Back
Top Bottom