Hii hapa hatma ya Kila msichana mrembo.

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,278
4,272
Mpaka umepata nguvu ya kuingia JF sipati kigugumizi ku-assume kuwa wewe ni mzima wa afya,,tumshukuru mungu.

Katika kuishi ishi kwangu nimekuwa na mahusiano na wasichana wakawaida sana, wazuri kiasi na zile pisi Kali kiasi kwamba Kuna muda unakaa uanjiambia "huyu amenihurumia tu siku yeyote naachwa"..

Hizo pisi Kali sasa,watoto wazuri, mapambo ya dunia, lulu hizo,almasi zing'aazo ndo nnazotaka kuzizungumzia leo,,nimebahatika kuwa nazo kwenye mahusiano, kuwa shemeji zangu(madem au wake wa rafiki au kaka zangu), classmates na wengine nawaona mtaani katika jamii inayonizunguka.

Kuna kitu nimekuja kukiona kwao,,nimekuja kugundua wasichana wengi wazuri huangukia kwenye HATMA Moja kati ya hizi mbili

1.Aje kuolewa na kigogo mwenye mpunga mrefuuuuuuu.
2.Aishie kuchezewa, kuzalishwa na kuachwa kuwa single mother.
(Exception siku zote zipo,,me naongelea generally mana Kuna wasichana wengine wazuri kabisa wamewapenda watu wakawaida kabisaaaa,,wanaishi maishi yakawaida kabisa)

Lakini anaangukia wapi kati ya hizo hatma mbili inategemea vitu vifuatavyo, vingine ntavisahau labda mnaweza kuniongezea,,

-Elimu yake(amesoma kiasi Gani)
-Anaishi wapi(Mjini au Vijijini)
-Ametembea kiasi Gani(Kutembelea sehem mbalimbal za Nchi na Dunia Kwa ujumla)
-Hali ya uchumi ya nyumbani kwao(wakishua au mlala hoi)
-Mazingira aliyokulia Kwa ujumla(nazungumzia malezi, nature ya mtaa na vitu kama hizo)
-Tabia binafsi(Tamaa Kwa mfano)

HATMA YA KWANZA:Kuolewa na kigogo mwenye pesa ndefuuuuuu..

Mmoja wa aliyewahi kuwa faraja ya moyo wangu aliwahi kuniambia "Criminal nakupenda, tena sana ila safari yako ya maisha bado ndefu kidogo, we mwanaume afu me mtoto wakike ntawahi kuchakaa, kwahiyo siwezi kukusubiri mpaka ukae sawa kiuchumi na sijui itakuchukua muda gani, akitokea mtu ana maisha yake akinuiaa kunioa sitojifikilia mara mbili, ntakubari"...
Mtoto alikuwa mkali,sanaaa,,hivi tunavoongea ye ni mke wa mtu, kigogo mmoja maisha safi,,sema mwana bado nipo kitaa naamini zamu yangu itafika tu,,..

Mtu mwenye pesa zake, nyumba, gari yani amekamalika, hawa huwa hawatafuti mke,,hawa huwa wanaenda tu wana "sort" mtoto mkali anawekwa ndani,,wasichana wengi wazuri nimeshuudia wameolewa simple tu like that,,mtu akaja akapitia Kwa binti mwenyew au wazazi,hamna haja ya maneno mengi mtoto anawekwa ndani,,SIMPLE LIKE THAT(Tuendeleee kutafuta hela vijana wenzangu,,sema tafuta mdogo mdogo tu,,usiidhulu afya yako,,Wala kumkosea mungu wako,,hakuna atakayetoka hai hapa duniani mwisho wa siku,,so take it easy)

HATMA YA PILI:Aishie kuchezewa kuzalishwa na kuachwa kuwa single mother.
Kuna huyo dada wa rafiki angu,,very beautiful girl,,nikisema mzuri namaanisha mzuri haswaaa,,Yani mzuri kweli,,ila unfortunately amezalishwa watoto watatu na yupo tu Kwa wazazi mpaka saizi naandika huu uzi..
Tunaweza sema ni mipango ya mungu lakini kibinadam Kuna baadhi ya tabia zake nadhani ndo zimemgharimu,,tabia kama

-Ni malaya,,yani hajawahi kutulia na mwanaume mmoja kiasi kwamba hata hizo mimba tatu still ni contraversal mpaka leo kuhusu baba halali wa Kila mtoto.

-Anatamaa zisizotumia akili,,sio dhambi kutamani maisha mazuri, hakuna anayependa shida ila Tamaa zitumie akili,, yani ukiwa na kipato Cha kawaida hivi ukitupia swagga zako utaambulia tu matusi,,hiyo ikapelekea atoke na vigogo ambao wengi ni waume za watu, wakamtumia wakamuacha.

-Alianza kuujua mkuyenge mapemaa,,sitaki kusema mojakwamoja kwamba uzuri wake ulimgharimu ila Kwa kiasi umeachangia Hali yake ya sasa ya maisha,,wanaume waliaanza kummendea Bado akiwa mdogo,,ikamchanganyaaa ikampotezaaa,,,,

-Alikataa kata kata kuendelaa na masomo,,aliachaga chuo, nafikiri kikubwa aliona Kila ambacho alikuwa anakitaka alikuwa anakipata bila kutumia nguvu, na vile anafukuziwa na watu na pesa zao, akaona shule inamchelewesha, akaachana nayoo.....

-Alijiamini kupitiliza, kwamba yeye kuolewa na mwenye pesa ni lazma,, ni swala la muda tu lakini wapi mungu naye anamipango yake leo yule paleee.....

Nazingine nyingi zinazohusisha msichana kuutumia vibaya urembo wake na ukaja kugeuka kuwa shubili katika maisha yake.

NB:Wanaume wengi pia tunaona ni risk kuoa wanawake wazuri sana,,tunaona tutauolea mtaaa,, kwahiyo tunaoa mke mwenye muonekano wa kawaida then tunachepuka na hao wanawake wazuri,hili pia limechangia Kwa kiasi kikubwa sana wanawake wazuri kutokuolewa

Buety is the gift, but a curse at the same time,,,,

HITIMISHO.
Hayo ndio machache niliyojifunza kutoka Kwa wasichana Warembo na hatma zao,,

Karibuni mtupatie uzoefu wenu juu ya
"HATMA ZA WASICHANA WAREMBO"

#OneDayYouWillBeGone
Dr. Criminal.
 
Wee jamaa unafaaa kuchambua malovee kwenye tv na vipindi maalumu njoo dm tuupige mwingi, tutaanza na online tv
 
Because we all lack purpose. Hatujui tunafanya nini duniani. Uzuri si kila kitu. Uzuri+Imani (sio acting)+ akili = great woman. Uzuri hufifia....people don care anyways.
 
Hivi mwanamke mzuri ni mwanamke wa aina gani? Awe na nini na nini ndio akidhi kuitwa mzuri.
Uzuri upo machoni mwa mtazamaji na
Kila mtu ana-perception yake but tutakutana point fulan tunakubaliana wake kwa waume kwambaa "Fulani ni mzuri"
 
Back
Top Bottom