Tusidanganyane kaskazini hakuna pisi kali huku ni ukanda wa vita

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Yakiwa yamebakia masaa machache huu mwaka 2023 tu u-dump kule. Ukweli lazima usemwe hapa kuhusu hawa mademu wa kaskazini wanaojiita pisi kali jambo ambalo sio la kweli na halitambuliki

Kama tujuavyo pisi kali siyo sura tuu (reception) , tunapoongelea pisi kali ikumbukwe katika akili zenu nyie wanawake na mkae mkijua kabisa ili uwe pisi kali lazima uwe na fully body linaloeleweka na kujieleza lenyewe pamoja na tabia nzuri zinazo onekana na zisizoonekana ,huku ukiongezea na kunako 6*6 uwe mchangamfu na mwenye uwezo wa kumpeleka mwanaume mbio mbio mpaka alione sufuria la plastiki.

Sasa hawa mademu wa kaskazini siyo pisi kali kwa sababu;_

* Hawana matrako ya kushikilia kanga moko na mahipsi ya kuzugia town

* Wamebebwa na sura zao ila miguu na viuno vyao vinawasaliti waziwazi, wanamiili mikubwa juu kama uyoga

*Wanatembea kama wanakimbizwa, na wanaongea kama chiriku. Ukiwa na hasira unaweza piga uka ua ila ukilegea demu kukupiga beto ni rahisi sana

* Mavazi yao ni kujifunga dailek kichwani, hizbolah, raba za kiume, boot za kijeshi, majinsi ya kuchanwa chanwa, sweta za kiume na vitopu vya kufunga mikanda kwa mbele, kuvaa mashati ya kiume yale ya draft kwao ni fasion

* Wenye afadhali sana wana maumbo ya V-shape au bar-shape , na wale wengine wana maumbo namba moja , namba saba na namba tisa

* Wana meno kama mahindi ya kuchoma wengine meno yao japo yana kutu ila bado yana utando mweupe na mengine ukichunguza yanakua na rangi ya kijani kwa mbali

* Wengi ni weupe au maji yakunde ila hawana joto ,miili yao ni ya baridi sana sii kwenye kipochi, miguu au unyayo wa miguu, ukijifunika nao shuka moja hakunatofauti na kulala na mfuko wa barafu kitandani

* Asilimia kubwa wananuka jasho, nguo moja anakupigia hata week, wavivu kuoga na wengine hawafuti makeup anaweza zunguka na makeup week mbili mfululizo

* Nywele zao akisuka dred , yebo yebo zinakua na uvundo, vumbi , vigodoro na nyuzi za mashuka pamoja na mba mpaka unachanganyikiwa kumjua.

* Wengi wananuka midomo na huko serikali ya wanaume hawaifanyii ulinzi utakuta inavunda jasho na pichu anarudia kila kukicha na wala hashtuki

*Hawajui mapenzi watakuua na presha mapema, wakuzike alafu wakajazane huko masokoni wakikimbizana na wateja kama wapo vitani

*Wanapenda hela wao wanaamini upisi kali ni kutoka na msela muhuni na kulamba vichenchi chenchi vyake vya kununulia kishada

* Wengi wao wanatembea na mabegi mgongoni kama ndege wa angani wasio na makazi maalumu.

* Wanavaa mayeboyebo yale makunwa makubwa tena yenye bracelet za gold

* Hawajui kupangilia code za nguo, atakuvalia jinsi la kijani, miwani ya rangi ya gold, viatu vyeupe, kitopu cha njano, huku kasukia rasta za rangi ya paple na anabeba begi jekundu mgongoni kusumbua mtaa

* Wagumu hawajui kutembea kiromantic, hawana sauti za kike za mvuto wao ni ubabe mwanzo mwisho na matusi ya hovyo

* Chuchu saa sita kwao ni historia , kila ukutanapo nao wengi vifua vimeanguka haijalishi ni mdogo au ni mkubwa ni ngumu kujua ana mnyonyesha nani hadi awe hivyo

* Hawana ubunifu wowote wao kazi yao ni kuiga kila kitu , siyo mavazi, kutembea au aina za biashara , utakuta mtaa mzima mademu wanafanya biashara hiyo hiyo moja waliyoigana

* Wapo flat akigeuka nyuma, huwezi kutofautisha mgongo, kiuno , makalio na mapaja vyote vimekaa kivurugu mechi

* Wana matumbo makubwa yasiyopangilika wengi wao wameangukia mbele na kukosa balance wakati wa kuwekana dog style kule chumbani

* Kunako 6*6 hakuna wajualo zaidi ya kupiga makelele tuu yanayo kera misili ya wimbo unao sikrachi sikrachi, hawajui kukata mauno ,wapo kama gogo kitandani na viuno vyao havizunguki ipasavyo hata umsaidie kukishikilia

* Kwao wanaamini kupiga ukunga ndiyo kulia kimahaba wakati unapomnyandua

* Wengi wao wana makomwe yasiyo eleweka na bado wanashindana na wakati kusuka nywele mdefu zinazo anzia katikati ya kichwa hadi kwenye kiuno

*Wakinyoa na akavaa suruali (jinsi) na kujichanganya katikati ya wanaume wanaotembea ni ngumu kujua kama katikati yao kuna demu

*Wanajua kudanga na wahuni, hawapo bright akilini mwao ,wao wanaamini akili za muhuni ndiyo maisha mazuri

*Wanajifanya wajanja ila ni washamba hakuna lolote wajualo zaidi ya kuingea kihuni badala ya kuongea kwa busara na heshima

* Mwisho kabisa mioyo yao ni ya chuma cha pua, hawana huruma hata kidogo, kukuua yeye ni kama ana tema mate, ila akikupenda hakuachi ana kung'ang'ania kama ruba kazi kwako kumpiga msasa, akikuganda kwa upendo wake na ukamzingua kukukusanyia nzi (wadudu) wakudunde ni jambo la kawaida sana

Kaskazini ni ukanda wa gaza huku hakuna pisi kali , kama unataka pisi kali achana na kaskazini ila kama unataka mke mbabe, mpenda hela mweupe na mwenye reception tuu unakaribishwa
 
Huu uzi ufutwe ,umejaa vayolensi...

Kukosoa maumbile ya wanadamu wenzanko kikatili namna hiyo tena hadharani ni mbaya sana haswa ukizingatia hakuna mtu aliyejiumba wala kuchagua na hakuna namna ya kubadilisha isipokuwa utlnajisogeza katika milango ya kukufuru..
 
Machalii ndo tunapenda hivyo. Inatupa mafeeling kinyama.

Arushans are not romantic.

Manzi zetu hawaliwi majalo kama wa huko dar.
 
Reception Kali Sana ndo kitu Cha muhimu tu, hayo mengine tutafundishana taratibu na pia trako vyakula vipo atakula aongezeke.

Ngoja turndelee kusherehekea uku
Shukrani
 
Reception Kali Sana ndo kitu Cha muhimu tu, hayo mengine tutafundishana taratibu na pia trako vyakula vipo atakula aongezeke.

Ngoja turndelee kusherehekea uku
Shukrani
Kumilikisha tako kubwa huku miguu hakuna haina tofauti na kuhujumu mwili wa mwanamke
 
Back
Top Bottom