Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,110
- 18,327
Ni binti nimekaa nae tangu alipo maliza std7 kasoma sec kwangu,nami ndo nimemlipia,hawezi kula,kulala bila kuniona,hadi ikaleta bifu kwa wife na kaondoka,juzi kaendaa home baada ya kumaliza fm4 hakuweza kukaa kaleta noma anasema siwezi ishi mbali na kaka,kape wa nauli na uncle ili aje tu hadi shangazi-mke wa uncle ananitania mkwe.nisaidieni nifanye nini.na hapa anakuja nampeleka computer course
Wewe unamatatizo sana, na unamawazo machafu sana kichwani mwako. Binti anakupenda siyo kwa sababu anahitaji muwe wapenzi ila anajisikia vizuri just bcoz you take care of her. Wanawake mara nyingi ndivyo walivyo, kama wanapata mtu wa kuchat naye vizuri anaye sikiliza anaye tabua uwepo wao wanapenda sana. Kwa hiyo just love her kama mwanao, isipo kuwa jua mipaka yake na ondoa mawazo yako ya kingono.
Mpende mkeo kuliko huyo binti maana utazushiwa yasiyo semwa hata hapa JF.
Naamini nimekusaidia.