Binamu ni nyama ya hamu?

Ni binti nimekaa nae tangu alipo maliza std7 kasoma sec kwangu,nami ndo nimemlipia,hawezi kula,kulala bila kuniona,hadi ikaleta bifu kwa wife na kaondoka,juzi kaendaa home baada ya kumaliza fm4 hakuweza kukaa kaleta noma anasema siwezi ishi mbali na kaka,kape wa nauli na uncle ili aje tu hadi shangazi-mke wa uncle ananitania mkwe.nisaidieni nifanye nini.na hapa anakuja nampeleka computer course

Wewe unamatatizo sana, na unamawazo machafu sana kichwani mwako. Binti anakupenda siyo kwa sababu anahitaji muwe wapenzi ila anajisikia vizuri just bcoz you take care of her. Wanawake mara nyingi ndivyo walivyo, kama wanapata mtu wa kuchat naye vizuri anaye sikiliza anaye tabua uwepo wao wanapenda sana. Kwa hiyo just love her kama mwanao, isipo kuwa jua mipaka yake na ondoa mawazo yako ya kingono.

Mpende mkeo kuliko huyo binti maana utazushiwa yasiyo semwa hata hapa JF.

Naamini nimekusaidia.
 
To me ni kama brother and sister lov,by ze way she is like my daughter to me,it,s bcause i've taken care of her since
 
Don't judge me wrong great thinkers i need your ideas and support not critisism,be as great thinkers,don't just spill anytthing because you have time to do so
 
LuCKNOVICH umetengeneza hayo mazingira ukijua una mke na sasa unataka jamii iihalalishe dhambi zako..

Binadamu yako hawezi kuwa na mawazo ya mapenzi huku akijua familia yako yaani wewe na mke wako ndio wafadhili wa masha yake..
Dismissed and case closed!
 
Don't judge me wrong great thinkers i need your ideas and support not critisism,be as great thinkers,don't just spill anytthing because you have time to do so

LuCKNOVICH

Duh! we are not judging, but rather expressing our mere disbelief as to how one can allow mtoto mdogo kuharibu ndoa yake if not for the fact that you are entertaining her dispicable behavior?? Anyhow here are few basic soln I could think off, seat her down na umueleze the following
  1. First of all Una mke whom you love so very much, and as far as women are hujawahi ona and/or hakuna zaidi yake
  2. Nyie ni ndugu , na wewe unajiheshimu so there is no chance in hell that you a sane person will ever cross that line
  3. Asipo acha huu ujinga,utasitisha misaada kwake, na pia ni marufuku yeye kuja kwako
  4. Asipo behave to the satisfaction ya Mkeo, akasababisha malalamiko yoyete juu tabia yake the action will be same as # 3
  5. If by a certain period she did not adhere to the stated rules, utawaelezea wazazi wake habari zake from A to Z
  6. ...............................................................
  7. .........................................................
 
Ulikuwa unataka akuchukue?. Yeye anakupenda kama kaka na dada hayo mengine unayahisi wewe.
 
Muondoe huyo binti hapo nyumbani kwako haraka aende akaishi kwa ndugu zako wengine na usiache kumlipia karo au tuition fee yake. Inavyoonekana unamuendekeza na ndio maana amejijengea picha hiyo ya ajabu akilini mwake. Angalia sana asijekuwa anamdharau sana mkeo na kummjibu majibu ya karaha mkeo kwani wengine wakiwa hivyo heshima kwa mwenye nyumba hushuka na kukuthamini wewe!
 
Goosh...na ilaaniwe siku niliyozaliwa kidume...tofauti zetu ni ndogo mno...hii kitu hii...imetupora uwezo wa kuona mbali kabisa...
 
Ni binti nimekaa nae tangu alipo maliza std7 kasoma sec kwangu,nami ndo nimemlipia,hawezi kula,kulala bila kuniona,hadi ikaleta bifu kwa wife na kaondoka,juzi kaendaa home baada ya kumaliza fm4 hakuweza kukaa kaleta noma anasema siwezi ishi mbali na kaka,kape wa nauli na uncle ili aje tu hadi shangazi-mke wa uncle ananitania mkwe.nisaidieni nifanye nini.na hapa anakuja nampeleka computer course

kuna binti mmoja alikuja hapa JF juzi akisema anapendwa na binamu yake,akasema binamu yake hata kufanya kazi hawezi kazidiwa na mapenzi- isije ikawa binamu mwenyewe ndo wewe!!!!!!!!!!.
sasa wewe, mtoto wa mjomba wako anakupenda -eti umemlea mwenyewe na anakupenda. na inaonekana wewe mwenyewe pia unampenda na ni wewe ndo umeruhusu hiyo hali, kama huyu binti ni mdogo kwako amepata wapi ujasiri wa kulionyesha hilo? siyo wewe ndo umempa "karibu". hapa ninasoma harufu hii

1. inaonekana wewe umeshanawa huyu binti
2. mjomba wako haitakii mema nyumba yako,ndoa yako inaingia mashakani. tambua kuwa hata kama mkeo hatakukimbia lakini utapoteza heshima na hata upendo kwa mke wako.
3. inawezekana huyo binti anatabia za mama yake, na hapa ni kuwa mjomba wako nae analizwa na huyo mke wake. yawezekana kabisa huyo binamu yako siyo nduguyo kwani mke wa mjomba wako alitoka nje ya ndoa akazaa huyo binti. sasa kama ndo hivyo kuwa binti anakupenda mama yake anaona kawaida kwani wewe siyo ndugu wa huyo binti. ndo maana shangazi yako anakuita "mkwe". nimesema anaatabia za mama yake kwakuwa sikutarajia huyo mama kucheka cheka juu ya hili

ushauri wangu ni huu;

1.jaribu kuzuia kuingia ktk mambo ambayo yatashusha heshima na utu wako, amini nakwambia huu mchezo aibu yake kuifuta ni ngumu sana
2. kama unajua unamsaidia huyo binti kutokana na mhemko wa ngono na siyo undugu, acha , bora usifanye. ujue utaanza kuwa na wivu na huyu binti, na hapo unaweza kuanza kudai gharama zako , kwani ni wazi huyo binti hutamuoa wewe. sasa hapo aibu itakurudi zaidi
3. amini ninakwambia kwa kuzuia kuingia ktk hilo utapata heshima kubwa sana si tu kwa huyo binti na wazazi wake bali pia kutoka kwa mkeo na jamii yako kwa ujumla.
 
ukiendelea kulea hako kamchezo, iko siku mtajikuta kitandani.
Mtimue akasome computer hukohuko. Na mazoea yakate.
Vishawishi vina nguvu.
 
1. yeye kupenda si kosa bali kakosea njia
2. wewe haustahili kumpenda kingono hata kidogo, kama unahisia hizo huna kosa BALI zizuie kwa mazingira. mambo ya yeye kusema hawezi kuishi bila wewe ni ujinga wa kizoba, treat her like ur kid, asome compyuta akiwa kwao
3. kama wewe ni mtu wa kujali na heshima, usikubali kumdhalilisha mkeo na kuvunja ndoa bila 7bu
4. ukishampa dudu najua vitoto hivyo vinapagawaga na hudata hata kutangaza hovyo..... kaepuke hako
5. acha huruma za kifala, UANAUME SI kutoa toa dudu
 
binamu nyama ya hamu,kama wewe ni muislamu muoe huyo binamu yako awe mke wa pili. Nalog off
 
Back
Top Bottom