Binamu ni nyama ya hamu?

Kama bado wanapendana, na wazazi wameamua kuwasamehe (Maji yamemwagika hayazoleki) inafaa sasa waoane rasmi. hakutakuwa na dhambi ili mradi wazazi wao wakiridhia.
 
Wapendwa wanaJF, Mara nyingi nimewasikia watu wakisema "BINAMU NYAMA YA HAMU". Je kuna ukweli hapo???
 
yani ukiwa na hamu ndo anakuwa halali.
Ukiwa huna hamu nyama yake ni haramu inabidi utafute nyama nyingine.

Nyamaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
Wapendwa wanaJF, Mara nyingi nimewasikia watu wakisema "BINAMU NYAMA YA HAMU". Je kuna ukweli hapo???
hebu fafanua basi manake kiswahili na misemo yake kidogo kinaniwia vigumu kuelewa. usihofu lakini kidogokidogo mambo yatajipa
 
KIKWE2 HII NI HARAMU TENA MBAYA KABISA! Yani hata ukisikika unaweza ukajinyonga hivi hivi!
 
Duh! Wapo wanaoruhusu kubanjuana mtu na binamu yake tena wengine hadi wanaoana! Sijui ndo hawataki ukoo uende mbali.........mmmh!
 
Hili jambo ni gum kulijadili hapa kwakuwa lina husisha dini na mila za makabila kwenye baadhi ya dini na makabila nikitu cha kawaida na kuna dini singine na makabila ni vibaya sasa chamsingi wewe angalia Dini yako na kabila lako
upandemwingine muhim sana ni kuangalia imani yako kuliko kabila kabila ni mfumo tu ulio anzishwa na babu zetu kama mfano kutairi wanawake kila mtu anapinga naukiangalia sisahihi kufanya tohara kwamwanamke kwakuwa mungu kasema waume ndo watahiriwe na kwasbabu malum. badhi ya dini zimeruhusu kuona binam na zimetoa sababu malum kwa mfano Islam kuoa bina ni kukuza uko nakulinda mali isitoke nje ya ukoo na pili kutokaribisha magonjwa ya kuridhi kama bumu sikoseli namengi kwahiyo ushauri wangu mimi ni kuangalia imani yenu nyote wawili naposema hivyo nakusudia kwenye ndoa hili la nyama ya ham sihalali kwayoyote si binam wala binama
 
Back
Top Bottom