Binamu ni nyama ya hamu?

Halafu hao mabinamu wanakuwaga "wachokozi" kweli........hmmm
 
afadhali mgeukie kwenye mapenzi kwanza maana mafuta na umeme vinatupa presssure ya bure
 
Duh! Wapo wanaoruhusu kubanjuana mtu na binamu yake tena wengine hadi wanaoana! Sijui ndo hawataki ukoo uende mbali.........mmmh!

Mbona huko kote mbali? Mi najua watu kibao wanabanjuana mtu na mtoto wa baba mkubwa/mdogo. Ina maana mtu na dada/kaka...
 
wanabanjuana baba na bintiye siku hizi sembuse hao mabinamu!? hakuna cha kabila wala dini, tuombe rehema za Mungu tu hapa
 
kwetu kimila kuoa mtoto wa mjomba'ko au shangaz'ko ni halali. kwa sasa hii inapungua lkn iliuwa hivyo.
 
Ni binti nimekaa nae tangu alipo maliza std7 kasoma sec kwangu,nami ndo nimemlipia,hawezi kula,kulala bila kuniona,hadi ikaleta bifu kwa wife na kaondoka,juzi kaendaa home baada ya kumaliza fm4 hakuweza kukaa kaleta noma anasema siwezi ishi mbali na kaka,kape wa nauli na uncle ili aje tu hadi shangazi-mke wa uncle ananitania mkwe.nisaidieni nifanye nini.na hapa anakuja nampeleka computer course
 
Na wewe unaendeleza hilo wakati ushaona hatari iliyopo kwa mkeo
Kwa nini usimwambie ukweli na kumjulisha hilo analotaka halitotokea. Una mke na familia na bado unaintertain mambo kama haya. Au na wewe unampenda nini ndo maana umeacha hayo yaendelee
 
Rocky, hakuna neno "intertain" katika Kiingereza. Kuna "entertain". Thank you very much.
 
Ni binti nimekaa nae tangu alipo maliza std7 kasoma sec kwangu,nami ndo nimemlipia,hawezi kula,kulala bila kuniona,hadi ikaleta bifu kwa wife na kaondoka,juzi kaendaa home baada ya kumaliza fm4 hakuweza kukaa kaleta noma anasema siwezi ishi mbali na kaka,kape wa nauli na uncle ili aje tu hadi shangazi-mke wa uncle ananitania mkwe.nisaidieni nifanye nini.na hapa anakuja nampeleka computer course

LuCKNOVICH
Mkuu mbona unaonekana kama una-enjoy hii situation? Pole kama nimekukwaza, ila tendo la kuacha issue ika escalate to the point that wife ameondoka speaks volumes to say the least! From maelezo yako i .e "umemtunza since alipomaliza std 7...." I'd think it was more likely that the two of you, would have developed a father-daughter relationship bond despite the fact that you are cousins na sio hii ya kaka/mpenzi. Duh!! anyways, i think its high time you do the needful na kuacha kuendekeza huu upuuzi !!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom