Binamu ni nyama ya hamu?

Kimila kumuoa binam haina tatizo,katika makabila ya TANZANIA nimeona kabila la waluguru wenyej wa mkoa wa MOROGORO wao wanaoana,nina ushahdi kuna wazee ambao hadi leo wanadunda na ndoa yao,wana watoto 6 na wajukuu zaidi ya 6.

Pia katika imani yangu ya dini ya kiislam si vibaya KUMUOA binam yako au KUFUNGA ndoa na binam yako,na SI KUZINI kama alivofanya huyo swaiba wako,watu ambao tumezuiliwa kuwaoa au kufunga nao ndoa ni MTU ULIYENYONYA NAE ZIWA 1 hatakama si ndugu yako,MTOTO WA MKE WAKO AU MUME WAKO,MWANAO ULIYE MZAA,NYUMBA ALIYOOA NDUGU YAKO,MDOGO AU MKUBWA WA MAMA YAKO AU BABA YAKO,na wengneo weng nimewasahau.

Ushauri wangu,jamaa amuoe huyo binam koz hajavunja sheria though kwa vijana wa kileo ni ngumu,hlo litaleta u2livu na watapata kumlea mtoto wao kwa amani,simlaum binti coz alimpenda jamaa akai2mia nafasi ya ku-xprec her self.
 
Hapo wanatakiwa waongeze mtoto wa pili na haina haja ya kuchanganyikiwa,kama waliweza kuchonga mzinga wakati wa mwanzo sidhani kama ni ngumu kwao sasa maana kila kitu kipo wazi.
 
Kama wanapenda waendelee tu kama vipi wahame mkoa..wakaanze maisha upya kwani kuna makabila mengine hufanya hivyo...
 
Waoane tu

Sdhani kama wazazi wanasababu ya kuwakatilia kufunga ndoa au kuoana maana tayari kila kitu kisha fanyika
Ila swali huyo mtoto akianza kutambulishwa kwa koo za kiafrika itakuwaje mi naomba maelezo hapo
 
Hapo mkuu hujamalizia usemi huo,wanasema binamu nyama ya hamu,Ukiikosa jilaumu.Hao wawili waoane tu haya mambo mengine ya undugu sijui nini yanaletwa na wivu wa wanandugu tu.Mimi kabla sijaanza kuwa do mabinamu zangu nilifikiria kuwa binamu hatakiwi kuguswa kabisa,lakini akatokea binamu aliyekuwa mkubwa kwangu kwa miaka kama 3 hivi,akanifundisha mchezo huo,basi we!kuanzia wakati huo safari za kutembelea wajomba zilikuwa haziishi na wenyewe wala walikuwa hawana mgogoro.
 
Kama wanapenda waendelee tu kama vipi wahame mkoa..wakaanze maisha upya kwani kuna makabila mengine hufanya hivyo...

Hawana sababu ya kuhama mkoa mapenzi yao yana sababu na kama wanajua wanachokifanya waendelee tu
 
Hapo mkuu hujamalizia usemi huo,wanasema binamu nyama ya hamu,Ukiikosa jilaumu.Hao wawili waoane tu haya mambo mengine ya undugu sijui nini yanaletwa na wivu wa wanandugu tu.Mimi kabla sijaanza kuwa do mabinamu zangu nilifikiria kuwa binamu hatakiwi kuguswa kabisa,lakini akatokea binamu aliyekuwa mkubwa kwangu kwa miaka kama 3 hivi,akanifundisha mchezo huo,basi we!kuanzia wakati huo safari za kutembelea wajomba zilikuwa haziishi na wenyewe wala walikuwa hawana mgogoro.

Mimi mpaka leo naambiwa nikitaka kuoa nimuoe binam yangu na bnt anajua ntamuoa,but mimi sitaki coz nataka mke ntakaemtongoza mimi.
 
Hawana sababu ya kuhama mkoa mapenzi yao yana sababu na kama wanajua wanachokifanya waendelee tu
wengi hutengwa hasa kama ni vijijini na ogopa kutegwa vijijini utakoma...wakihama wakaenda kuanza maisha yao sehemu nyingine itawasaidia sana hata kisaikolojia wao na wazazi wao......
 
Hapo mkuu hujamalizia usemi huo,wanasema binamu nyama ya hamu,Ukiikosa jilaumu.Hao wawili waoane tu haya mambo mengine ya undugu sijui nini yanaletwa na wivu wa wanandugu tu.Mimi kabla sijaanza kuwa do mabinamu zangu nilifikiria kuwa binamu hatakiwi kuguswa kabisa,lakini akatokea binamu aliyekuwa mkubwa kwangu kwa miaka kama 3 hivi,akanifundisha mchezo huo,basi we!kuanzia wakati huo safari za kutembelea wajomba zilikuwa haziishi na wenyewe wala walikuwa hawana mgogoro.

Umeshawatafuna binamu zako wangapi?
 
kwa makabila ya Tanga hasa wadigo wanajua kuwa swala sio ubinamu tu kuruhusiwa kuoana hata mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo au mama mkubwa na mama mdogo wanaruhusiwa kabisa kufunga ndoa. Tena zipo nyingi tu watu wamefunga na ushahidi wa hili ninao.
 
Mkuu we wa huko nini?
 
Back
Top Bottom