mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,179
baba analala na mwanae wa kuzaa sembuse binamu..
Wanajf wenzangu nimekutana na marafiki zangu wengi sana ambao wamesha do na mabinamu zao na wengi sana wanasema ni sawa sasa kwa upande wangu mi nashindwa kuelewa maana mi namfananisha binamu na dada yangu
wanajf nyie mnalizungumziaje hili?
Ni sawa au sio sawa??
Tangopori inategemea na kabila lako mana kuna makabila yanaruhusiwa hata kuoa kabisa binamuWanajf wenzangu nimekutana na marafiki zangu wengi sana ambao wamesha do na mabinamu zao na wengi sana wanasema ni sawa sasa kwa upande wangu mi nashindwa kuelewa maana mi namfananisha binamu na dada yangu
wanajf nyie mnalizungumziaje hili?
Ni sawa au sio sawa??
Gaspery lasway hahha umeona yani watu wanakazana kuhalalisha kua binamu ni haki kuoa wakati ni kama dada au kaka kabisa yaniVilivo haramu watu hutumia kila njia kuhalalisha,mmekosa wengine? Japo haramu ni tamu
baba analala na mwanae wa kuzaa sembuse binamu..
Kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa si sawa!