Binamu ni nyama ya hamu?

Binamu ni nyama ya hamu?

Ndugu wana JF,
inavyo onekana ni watu wa karibu wanamtumia binti huyu kunichafua kwa sms za kashfa,matusi.nimefanikiwa kumjua ni nani,anabip muda wote ni siku ya 3 sasa
Sipendi kesi ni kama itanipotezea muda.
Nipeni ushauri nifanye nini?

Naweka jamvini
Umefumaniwa???????
Mbona heading ni tofauti na maelezo?
 
Dah!!..kichwa cha habari na ulichoandika ni vitu viwili tofauti kabisa kamanda. kusomeka imekuwa ngumu kidogo mkuu.
 
Masalakulangwa... Dogo una akili za kufundishwa! jf this days kha!
 
Kazi ipo. Hata ku construct ujumbe unaoeleweka ni shida.
 
Wanajf wenzangu nimekutana na marafiki zangu wengi sana ambao wamesha do na mabinamu zao na wengi sana wanasema ni sawa sasa kwa upande wangu mi nashindwa kuelewa maana mi namfananisha binamu na dada yangu
wanajf nyie mnalizungumziaje hili?
Ni sawa au sio sawa??
 
Binam yako ni ndugu yako. Shangazi/mjomba na Baba mdogo/mkubwa au mama mdogo/mkubwa wako wana undugu sawa kwako, kama mtoto wa baba mkubwa/mdogo au mama mdogo/mkubwa ni dada/kaka yako iweje mtoto wa shangazi/mjomba yako? Koma kabisa wala usije kudanganywa eti mbona Yakobo (biblia) alioa watoto wa mjomba yake!,
 
TENA WATAMU KWELI KWELI...............speaking from experience!
 
Lakini inaonyesha mila zinakuruhusu. Ningeonja nami niupate huo utamu lakini mila haziniruhusu.

to hell with Mila! sikuhizi hakuna mila kaka!...acha kujibania uhondo kama kizuri zuri kimekaa fresh piga shoka
 
Vilivo haramu watu hutumia kila njia kuhalalisha,mmekosa wengine? Japo haramu ni tamu
 
dah Hashycool,we noma yaani inaonyesha umeshazowea mpaka una-ka uchu flani hivi!,mie sijawahi ingawa kama mwanaume nilie kamilika huwa sometimes napata hisia ila sizipi nafasi,binafsi hata kama mila yangu inaruhusu na-feel guilty.
 
Back
Top Bottom