Bill Gates mapumzikoni Pemba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bill Gates mapumzikoni Pemba!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mzee Mwanakijiji, Jul 3, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kutokana na sababu nyeti habari hii sikuirusha mapema. Hata hivyo, Yule Bilionea Mkubwa wa Kimarekani Bill GAtes alikuwa nchini (nadhani bado yupo) akiwa mapumzikoni kule Pemba kwenye mojawapo ya visiwa vidogovidogo ambako yuko mapumzikoni.

  Kitu ambacho kinafanya jambo hili la kukuna vichwa ni tetesi kuwa sehemu hiyo imeuzwa kwa tajiri huyo mkubwa duniani na imekuwa "nyumbani mbali na nyumbani".

  Ni kwa kiasi gani wananchi wa Pemba au maeneo hayo yananufaika na ujio wa mara kwa mara wa tajiri huyo?
   
 2. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2009
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mwanakijiji,
  Unatutania au ndo kweli mbona hii mpya? well labda tuseme tuna bahati japo kutembelewa na huyu bwana mkubwa, but the question remains: ni namna gani hao wapemba au watanzania wengineo wanafaidika?
   
 3. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Khee sasa unahamaki kwa kuwa amete,mbelea Pemba. Usijali yote hiyo ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  duh.. sikutanii mkuu wangu.. katoto kanzi kalikototolewa Pemba kameleta habari za uhakika ambazo nimeweza kuthibitisha kutoka vyanzo huru. Huwa anakuja mara kwa mara mapumzikoni.
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Niliposoma headline nilishangaa na kujiuliza Bilionea Bill Gate na Pemba wapi na wapi. Kwa hoteli gani ya hadhi yake!?. Baada ya kuisoma, nimekubali. This country every thing is possible na Wapembe hawafaidiki chochote zaidi ya cesspit ni ndani ya bahari yao.
  Niliwahi kutaka japo kupata kinyaji Dongwe Club Vicanze ya Taliano. Safari yangu iliishia getini. Baada ya kuonyesha ID yangu ya wakati huo, ndipi nikaruhusiwa kufika reception na kuambiwa masharti
  1,On line booking.
  2. Payment in US $
  3. Deposit in Italy
  4 only Credit card
  Nikajichokea na kujiondokea zangu. Hiyo ni hotel bussiness Zanzibar gets nothing, itakuwa kisiwa?.
   
 6. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  This is going to be the land of MAFIA. Just wait and see!
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ....khaaaa!! (with a light touch)
  ....kwa hii habari kwenda kimya kimya, mimi namtolea lawama GT kwanza, kisha Abdulhalim na mwingine ni mr. Kibs!

  ....GT kwa kuwa mtu mwenye uelewa mkubwa katika mengi, international relations, curruption links, economics na mengine mengi kede wa kede, hili nahisi nalo analijua ila kaliminyia.
  ....GT kwa kuwa proponent wa great thinkers ideology lakini kutoifanyia kazi pale inapofaa na kuhitajika, haswa linapokuja swala la Pemba na visiwa vyake. (ame diverge resources kufatilia mambo ya Babaye Said Kubenea instead ya kufatilia Wapemba wanafaidika vipi na hii supposedly new investment)

  ....Abdulhalim, kwa kuwa mtu mwenye kuelewa mengi about his society lakini kuwa mchoyo wa kusambaza ILIM kwa watu wa MATAIFA YOTE yasiyo Ya Waisrael!!!

  ....Kibunango, kwa kuwa jirani sana na visiwa vya Pemba lakini badala ya kufatilia mambo haya makubwa makubwa kwa majirani zake, anafatilia Wazenji wanakunywa nini na vipi wanarusha vifuko mabarabarani!!!

  Have a gud weeekend!

  ....BTW Mkjj, hicho kitoto cha inzi kinafata nini huko kwenye marashi ya karafuu?!! miye nilifikiri chenyewe ni kwenye uozo uozo tu..... haya bana, hebu miye......
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mmh.. hiki bado hakijajua kufuatilia uchafu..chenyewe kimesikia Pemba kuna harufu nzuri basi kikaruka kuifuata.
   
 9. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Thank God Its Friday....
   
 10. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duh na wewe mzee mzima kweli hupitwi na jambo ndugu yangu, hivi ni kweli au vipi??
   
 11. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  du ebwanaaaaaaaaaaaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  huyu huyu bili gates????

  vile visiwa ni vizuri sana lakini hatuvitumii ki uchumi mweee kila kukicha ni kelele tu
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Jul 3, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Steeeve...! Are you serious...!?
   
 13. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,086
  Likes Received: 1,731
  Trophy Points: 280
  Tafadhali tupatie jina la hicho kisiwa kidogo anakopumzikia Bwn. Bill Gate. Je amekuja na mkewe?
   
 14. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ... only a lil'bit!! :)
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mzee ningependa kufanya hivyo, lakini that will be beyond the intrusion of his privacy. Akishaondoka nitaweka hapa vinginevyo ninaweza kuattract unwanted attention wakati yeye kaja mapumzikoni tu.
   
 16. L

  Lukundo Member

  #16
  Jul 3, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungesema kafikia hotel gani , ingeleta maana zaidi. Lakini kumbuka mwkjj, mozambique kuna pemba ambayo ndo kivutio cha watalii kufa. Ukiwa sa [ot air port] utaona safari nyingi za kule. Tudhibitishie basi, sio kwa porojo za hear say.
   
 17. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Source: Why Visit Zanzibar in Africa - beach holidays - Zanzibar hotels

   
 18. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Source: Places to Visit during Tanzania and Zanzibar African Safari | African Portfolio

   
 19. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ni kweli tuna maeneo mengi sana ambayo natural beauty yake haina mfano KAMA TUNGEKUWA TUMEKAA MKAO WA KULA tungeingiza pesa nying sana kutokana na utalii. Mtu mmoja amesema hapo juu kazi yetu sisi ni maneno maneno na bla bla tu.
  Wapemba hawawezi kufaidika kwa lolote zaidi ya kodi anayolipa mwenye hotel serikalini. Wangeweza kufaidika kama kungekuwa na biashara za wazawa ambazo zingeguswa na ujio huo au kwa namna moja au nyingine zinafanya biashara na hiyo hotel. Tutaweza kuliepuka hili pale tutakapowezesha wazawa kuwa tayari kujiingiza kenye biashara na faida wanayopata waiwekeze hapa hapa nchini. Vinginevyo sisi tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu tu.
  UMK.
   
 20. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #20
  Jul 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ndugu bill gates amekuwa anakuja visiwani mara nyingi hata mwaka jana alikuwa kule ni kweli kuna kisiwa fulani chenye hoteli haijulikani ni hoteli ya nani kwa sababu hata tra wanapojaribu kufuatilia huwa wanashindwa kisiwa hicho ndio kilichangia kwa kiasi kikubwa kumfukuzisha hata raisi mstaafu wa afkrika ya kusini kuna picha alipiga kule hata zuma aliwahi kutembelea kabla ya mbeki kujiuzuru wiki moja kabla
   
Loading...