Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,988
Kutokana na sababu nyeti habari hii sikuirusha mapema. Hata hivyo, Yule Bilionea Mkubwa wa Kimarekani Bill GAtes alikuwa nchini (nadhani bado yupo) akiwa mapumzikoni kule Pemba kwenye mojawapo ya visiwa vidogovidogo ambako yuko mapumzikoni.
Kitu ambacho kinafanya jambo hili la kukuna vichwa ni tetesi kuwa sehemu hiyo imeuzwa kwa tajiri huyo mkubwa duniani na imekuwa "nyumbani mbali na nyumbani".
Ni kwa kiasi gani wananchi wa Pemba au maeneo hayo yananufaika na ujio wa mara kwa mara wa tajiri huyo?