upuuzi wa Vasco ungeendelezwa
rejea maneno ya jk kwenye hituba zake,
(1)-NITAFUTUENI MTU ANAEKUBALIKA NA WATU. alisema akiwa kwenye shelehe za kuazimisha miaka ya ccm, hapa hata lowasa hajamuelewa jk maana aliyaludia haya wakati anajitetea aliposema wa wananifuata wenyewe, nitawezaje kuzuia mafuliko kwa mkono! hapa walipoitwa kwenye kamati ya nidhamu ndani ya chama jk aliwaambia nyie tulieni hadi wakati ukifika kachukueni form.UKIANGALIA MTU ALIEKUA ANAKUBALIKA NI JPM MAANA HATA ALIVYOKUA AKISIMAMA BUNGENI AKIANZA KUELEZEA KUHUSU WUZARA YAKE ALIKUA HAPINGWI HATA NA WAPINZANI.Kiasiri na sio kukubalika kwa rushwa.
(2)-MLIOCHUKUA FORM ZA KUWANIA URAIS NI WENGI TENA NI VIGOGO LAKINI NAOMBA TUSIJE KULAUMIANA BAADAE MAANA WENYENIA YA KUWAINGOZA WATZ NI WENGI HATA WAKITOKA UPINZANI SIO DHAMBI.aliyasema kwenye hotuba yake ya mwisho.mambo yake na wenzake waliomtangulia walikua wakiyafanya kwa siri sana, nafkiri walikua wanataka mtuwao asipate matatizo maana wangefanya wazwaz mtu huyu angekua ktkt ya makundimawili yenye nguvu ingekua hatari kwake.
KWENYE MCHAKATO KWENYE KUTAFUTA WAZAMINI.
Wakwnza kutumia hela nyingi ni
(1)EL
(2)MB
(3)MKMBA
Hao wote wakitumia rushwa ni hatari kwa watu wa aina hii kwa wanaotaka uongozi wa nchi.
KWENYE VIKAO.
walianza na bwana mkubwa mwenye kundi kubwa, hapa lengo ni kuwapima watafanyaje kwenye big5.Watu wote walijengwa kisaikolog kua ni MB kama walivyo fikili, lakini mbaya au uzuri bwanamkubwa ingawa alikatwa lakini hakuchoa akaonyesha uhalibifu baada ya baada ya tukio la kubambikiziwa kashfa ya bwana Mmoja kukamatwa na mabegi ya fedha ili zuonekane za bwana MB.wakaonekana kama wote wanapenda ugonvi nae kakatwa mdawake ulipofika.
KWENYE bg3.
tumeona wanawake wawili na jp mwenyewe, hapa bado watu wakaamini MAKAMU atatoka kati yao, lakini hiakua hivyo, akatoka kwingine kabisa, na jk akaanza kuwatambulisha na kuwanwagia sifa kwa kuwapa majina ya kazi tu, kamavile tingatinga.nk.
KWAHIYO ANAESEMA JPM HAKUANDALIWA SIO KWELI, KILICHOFANYIKA KWENYE UCHAGUZI WA MWAKA HUU NI USIRI, LENGO NI KUYABOMOA MAKUNDI NA KUEPUKA WAHUSIKA WASIPATE MADHARA MAANA WANYONGE HAWA WALIKUA KTKT YA MAKUNDI MAWILI YENYE NGUVU KUBWA. NA NDIO MAANA UNAONA HADI SS BADO USIRI UNAENDELEA JINSI YA KUTEUA VIONGOZI WENGINE.