Bila upinzani imara rais angekuwa Membe

Bila upinzani imara rais angekuwa Membe

Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.

Lowassa ameenda ukawa mwezi August baada ya.kukatwa na cc ya ccm, membe amekatwa na nec ya ccm Siku tu baada ya lowassa...sasa ukawa na.lowassa wameongiaje hapo.
 
Wapenzi wa lowassa ndani ya NEC waliamua kuwa chaguo la kikwete (Membe) hawezi penya kwa namna yoyote ile,mpira ukamuangukia JPM!

Mkuu kuna tetesi kua walimpigia kura kwa wingi yule Mama wa Z'bar na ndio maana ikapelekea matokeo ya kura kutolewa kesho yake?
 
Wewe punguani kweli unaweza kunipangia kitu cha kuandika humu JF?? Kwani ni uongo Escrow haikupigwa na wana kwaya kwa kushirikiana na benki yao ya Mkombozi.

Punguani mwenyewe, na upunguani wako unajidhihirisha kwa kutokujua nini uandike wapi, punguani wahed
 
Nakubali timu ya Lowasa ndiyo ilimyima Membe Urais. Siyo Ukawa kama mleta hoja anavyojaribu kujenga hoja. Baada ya Lowasa kukatwa katika kinyanganyiro, timu yake ilitaka kuharibu mchakato mzima wa uchaguzi wa mgombea wa ccm. Wazee wenye busara wakapendeza watu ambao wana makundi yenye nguvu kwenye mchakato wote watoke. Kwa msingi huo Timu Lowasa ilichangia. Lakini pia kutolewa kwa Membe kumechangia JPM kupata nafasi hiyo kwa urahisi.
 
Marufuku kutumia pesa za serikali kupamba mapambo ya XMass ofisi za serikali hii ni amri kutoka kwa rais Dr.Magufuli nenda kamshtaki kwa mtume wenu wa Chadema Gwajima.
Mliigeuza ikulu kuwa masjid sasa mtajibeba, Magufuli anatumbua jipu moja baada ya jingine akimaliza kuyafunga makwepa kodi kina Said Bakhresa myemen, Msomali Bade anakuja kwenu wauza unga.
 
well ndio uzuri wa demokrasia ndani ya ccm .... upinzani ni zao la demokrasia.... KIDUMU CHA MAPINDUZI!!!

DR. JPM ZI ZAO LA CHAMA CHA MAPINDUZI

NADHANI BARAZA LAKE LA MAWAZIRI WATAKUWA NI WATU WA KAZI TU
 
Hata mimi nilikuja kugundua baadsye kwamba team Lowasa hawakuwa na plan b. Hawakuwa wamefanya assessment ya kutosha ya nini wafanye baada ya Lowasa kukatwa. Nadhan uamuzi wa kumwingiza Magu tano bora uliwaconfuse sana team lowasa kanda ya ziwa. Na hapa ndipo palipoiponyesha ccm. Kutumia kete ya kanda ya ziwa. Of course ccm walidhan kumkata Membe kungepunguza hasira za timu Lowasa na possibly hawa mapapa wawili maadam wamekosa wote hakuna upande ungeona umeonewa hata kupelekea kuhama. Bahati mbaya Lowasa akahama. Na hapa ndipo hesabu za ccm za kushinda kirahisi xilipoharibika. Na kukawa na paniki kubwa. Ikapelekea ccm na serikali kutumia kiasi kikubwa cha pesa kumkabili huyu mwanaume. Na kukauka kwa hazina kuna uhusiano mkubwa na harakati za ccm za kumzima Lowasa. Ccm na kikwete walisema liwalo na liwe. Kwa taarifs yenu hazina ilitoa pesa nyingi kwa njia ya vimemo nje ya budget yake.

Magufuli kaambiwa wazi kwamba ameshinda lakini kwa cost kubwa ya kukausha hazina. Ndio maana mnaona Magufuli hajamgusa mtu pale hazina!Na pia ilikapilika za Magu za kubana matumizi ndio chanzo chake hicho!
 
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.

Binafsi nafahamu ujio wa Magufuli ni baada ya Lowasa kukatwa hivyo napongeza kukatwa kwa lowasa na nawapongeza team Lowasa kuanzia ndani ya chama cha ccm na nawapingeza Ukawa kwa kumupokea Lowasa
 
Uko sahihi.... Tatizo ni pale wanapotaja UKAWA kuwa ndio waliochangia kuteuliwa kwa Magufuli kana kwamba Lowassa alikuwa Mwakilishi wa Ukawa ndani ya ccm!
SEKESEKE LA UKAWa ni tangu bunge la katiba. uchaguz serikali za mitaa.
hapo system ndipo ilipoanza ku yumba.
kambi ya lowasa ikahusika kwa upande wa ccm ndani kwa sekeseke zake.
vuta nikuvute system ikamtosa lowasa lakini ikabaki na majeruhi ya tangu enzi za bunge la katiba.
hapo ndipo JPM akapenya kama sinema ilivyoonyesha.
Kwa hiyo credit ni kwa NGUVU ZA UKAWA NA Team lowasa kabla ya kuja ukawa
 
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.

Lowasa amekuja chadema /UKAWA Magufuli akiwa tayari akiwa mgombea wa CCM.
 
Membe ndo alikuwa chaguo la lumumba,ila Mungu Mkubwa katuletea Magufuli mtetezi wa wanyonge
 
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.
Acha kujitoa ufahamu,Lowasa kaenda ukawa baada ya kukatwa,Hivyo kukatwa kwa membe hakuna relationship na Lowasa kwenda ukawa.Sema hivi wafuasi wa lowasa wa CCM ilibidi wampigie kura Magufuli ili Membe asipenye na walifanya hivyo ili kumkomoa JK
 
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.

Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.

Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.

Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.

KWani Magufuli alichaguliwa tayari Lowasa kishaenda UKAWA?

UKAWA mnapenda kujipa sifa sana zisizo na mantiki
 
Kilichomuweka Magufuli ni Vita yao ndani ya CCM na sio UKAWA, mtakuja kusema hata waliomwambia Lowasa ajivue gamba ni UKAWA.
 
Pumba tupu, hakuna mahusiano ya ukawa kumteua Lowasa na uteuzi wa Magufuli, Lowasa hata asingeenda ukawa isingemzuia Magufuli kugombea, mtoa mada punguza viroba
 
Back
Top Bottom